GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Mwamba wao aanze sasa taratibu kufanya Mazoezi ya kuyaanza Maisha mapya ya Kukaa Jela ambayo yanamjia kwani kwa Kilichotokea 'Mvua' ya kati ya mwaka Mmoja mpaka Mitatu haiepukiki Kwake. Ni suala la muda tu.Kwenu studio 😅😅