Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Sema tu kwamba nawe unataka majadiliano na mimi. Lakini kabla hatujaanza, naomba uelewe kwamba ujinga kwa english ni ignorance. Wapi umeona ignorance yangu? Mimi ni msomi bhana! Hapa umenichafulia muelekeo wangu kwenye hii chapter ya laws of thermodynamics. Nasoma hizi laws zenye ushahidi wa maabara, siyo zile alizosoma Lissu. Kabla ya Januari nataka niwe nimemaliza topic ya epigenetic inheritance. Sijui wewe unafanya nini maana watu wa aina yako wanahangaika sana na ilani ya chama tawala.Umeenda shule lakini hujaelimika, bado una ujinga mwingi kichwani