Mbona kama unatumia matokeo ya hukumu ya huyo jaji kibaraka kama mtaji wa kujitafutia "Cheap Popularity" humu na kama unashangilia shangilia vile.Nilitukanwa sana hapa na Wafuasi wake wakati GENTAMYCINE nilikuwa na nia njema nae tu ili asaidiwe Kiushauri na Kimawazo na Wadau mpaka Wataalam wa Kisheria.
Sasa kuanzia leo tutaheshimiana vizuri.