GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mwamba wao aanze sasa taratibu kufanya Mazoezi ya kuyaanza Maisha mapya ya Kukaa Jela ambayo yanamjia kwani kwa Kilichotokea 'Mvua' ya kati ya mwaka Mmoja mpaka Mitatu haiepukiki Kwake. Ni suala la muda tu.Kwenu studio π π
Hunishindi kabisa Mimi Mkuu.Naipenda Tanzania..
Mapema na Asubuhi tu Mkuu. Hachomoki!Anaenda kuungana na Sabaya
Nawasubiri na bahati nzuri wananijua.Subiri waje kukumwagia radhi tena hapa.
Wamevurugwa na bahati mbaya unaazima jamvi wakati mgonjwa kauli hatoi kikichosalia ni mashine za kupumulia
Walikua wanafurahia PGO kana kwamba ndio ushindi.Nawataka leo waje hapa kunitukana tena.
Uko sahihi 100% Mkuu na hupenda Kukutana na Watu 'Brainy' kama Wewe hapa JamiiForums.It was well calculated kabla haijaanza.
Jersey John......Kwenu studio π π
Wadanganye wenzako Mwamba anaenda.Anakuja kuchomoka kwenye rufaa maana mahakama ya ufisadi tayari ishaisha....Kwenye rufaa wanaenda na facts na sio amri kutoka juu.
Tukiwaambia hawajui Kufikiri wananuna.Walikua wanafurahia PGO kana kwamba ndio ushindi.
Wadanganye wenzako Mwamba anaenda.
Mkitahadharishwa na tuliobarikiwa Maono ( Philosophers kama GENTAMYCINE ) mjitahidi muwe mnatuelewa na muache Kututukana na Kutudharau.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa Tanzania kuna mahakama au mifumo ya kutenda haki.
Sabaya anaburuzwa kwa maelekezo kutoka juu kisa alimtukana Chief Hangaya tusi la nguoni enzi za mwendakuzimu alipokuwa hai.Tusi hilo huwezi hata kuliandika hapa,lilikuwa ni tusi la nguoni kwelikweli.
'Nitakunya' Tegeta hadi Mbagala Mkuu.Wee bwana Popoma mbowe atachomoka tu acha uchurooo
Muda unaongea ngoja niweke ushahidi hy comment yakoNitakunya Tegeta mpaka Mbagala Kipati.
Issue ya Sabaya ilikuwa mtego, na walinasa 100%Uko sahihi 100% Mkuu na hupenda Kukutana na Watu 'Brainy' kama Wewe hapa JamiiForums.
Leo mbona hawajitokezi Kunitusi tena?
Kesi ya ugaidi hukumu ni kunyongwa hangaya asisite kutia winoKipindi sabaya anafungwa,mahakama ilikuwa huru? Tusijisahau makamanda.