Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Sawa mkuu umeshinda wewe naona umeandika kwa hisia kabisa😆😆Hayo ni maneno yakujifariji tu niwaambieni kitu ukweli siku zote haukimbiwi suala la mahaba na utiifu kwa mwanaume mmezidiwa Sana na wanawake wakislamu nyinyi mchowazidi uchakarikaji na usomi kwenye sifa zao lazima muwape na nyie kwenye sifa Zenu tutawapa bahati mbaya kwenu wamewazidi kwenye sehemu ambayo ndio Wanaume akili zetu zipo hapo yaani tunaiita sensitive area.Kwasababu ya wengi wenu kukosa sifa hizo kuu za wanawake wakislamu ndio maana mnatufanya tuwakimbilie lakini mngekuwa na hizi sifa wala tusiangaika na wanawake wakislamu kabisa
Kila la kheri mkuu kwenye kupewa huba zito na bibie sie wakristo tupo tunasubiri watakaotuelewa…