Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Sawa mkuu umeshinda wewe naona umeandika kwa hisia kabisa😆😆
Kila la kheri mkuu kwenye kupewa huba zito na bibie sie wakristo tupo tunasubiri watakaotuelewa…
 
Waislam wagumu mno kubadili dini. Hata umuokote malaya anayejiuza ukifika kwenye kubadili dini mtaachana.
 
Mkuu jaribu kula kitimoto hutajutia maamuzi yako,achana na hayo mapokeo ya hizo story za huko uarabuni zinakuchosha tuu...[emoji3][emoji3]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee umejieleza mwanzo mwisho ila sijaona hoja yako ngoja nikuulize kitu kwa wanasayansi wanaoandika habari za kina Isaack Newton sijui Na wanasayansi wengine wale wa zamani kwani waliwaona hao kina Isaack Newton???

Historia ya mtu/vitu inaandikwa kulingana na watu walivokua wanaona. Biblia ni kama hadithi zinasimuliwa kizazi na kizazi hivyo walioandika wameandika kwa yale maono/hadithi walizosikia ndo mana kuna baadhi ya maandiko kwenye mathayo yapo ila kwenye Marko hamna we unadhan kwann kuna utofauti??

YESU hakukaa chini kuandika historia yake mwenyew bali ni hadithi ambazo watu walikua wakisumuliwa wakaamua kuzitunza kama kumbukumbuku(kwa uelewa wangu) naamini hata Mtume Muhhamad S.W na yeye ana hadithi zake ambazo huwa zinasimuliwa inamaana tuseme wanaosimulia wanatudanganya kwasababu hawakuwepo??
 
We jamaa ni mfia dini sanaa..

Hivi unajua ungezaliwa na Mchungaji basi muda huu ungekuwa madhabahuni unahubiri habari za wokovu?

Umekua muislamu kwasababu ulizaliwa na waislamu.

#YNWA

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kweli hawa ndo wale wanaofanya mabalaa kwa jina la Allah[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Divide and rule
 
"akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa"

Shida inaanzia pale mzazi unaposhindwa kufundisha dini kwenye familia yako na wewe mwenyewe kushindwa kusimama kwenye dini yako ipasavyo . kwanza jua si mtume anayekataza na kuruhusu vitu kwenye dini hiyo ni kazi ya mwenyezi mungu .

Na kama imekatazwa kuzaa bila ndoa unadhani zinaa ndo imeruhusiwa?
 
kila kitu ni mipango ya Mungu upendo sioni na siwezi kuushika ila nahisi upo kama imetokea nimependa sehemu nawezaje kujizuia maana kwa hakika hakitokei kitu bila Allah kubariki basi asingenipa upendo kwa Mwanaume dini tofauti hata hivyo tuliachana
🤔🤔 i think hata wanaotoa mimba huwa mipango ya mungu, wanaouwa watu bila hatia huwa pia mipango ya mungu, wanaodhulumu mali huwa ni mipango ya mungu, wanaobaka, wanaolawiti watoto wadogo huwa ni mipango ya mungu maana hisia zao japo hawazioni wana imani kabisa wasingekuwa nazo bila mungu kubariki.

No offence mkuu, but umefikiria nini kuandika ulivyoandika nina wasi wasi ulisoma elimu ya dunia sana ukasahau ya akhera ambayo ndiyo muongozo mzima am not here to judge you but uwe unafikiri kabla ya kumtusi ALIYEKUUMBA.
 
Kosa langu ni lipi mkuu ulishawahi zuia upendo
Si kila hisia na matamanio ni ya kufuata kuna watu wanatamani mapenzi ya jinsia moja ukiwauliza watakuambia wapo kwenye upendo na hawawezi kujizuia .

Vipi kwa wale wanaopenda na kutamani kuwa wafalme au malkia? Je? Mbona hawana hizo nafasi na wanazitamani? Utakuja kugundua ni vile unaji tune mwenyewe no further justification.
 
Sawa mkuu umeshinda wewe naona umeandika kwa hisia kabisa😆😆
Kila la kheri mkuu kwenye kupewa huba zito na bibie sie wakristo tupo tunasubiri watakaotuelewa…
Shida ya hawa ni moja tu dini yao na usiombee ukapata binti wa kisalamu alafu baba yake ni shekhe kuoa hapo ni ngumu kabisa ila usijali tukishapata vizingiti vya wazazi wao ndio tuwarudia nyie
 
Hebu taja facts za utofauti wao vizuri usiseme tu wako tofauti halafu basi [emoji4]
 
Kwa waislam, dini inamfundisha mwanamke kuwa chombo cha starehe kwa mume wake/mwanaume!
 
Dini zina upumbavu mwingi sana.

Muislam na mkristo wanapingana...at the same time mkristo wa dhehebu fulani anampinga wa dhehebu lingine, rc na kkkt haviivani, kkkt na sda hawaivi...yani ni shida

Huko kwa waislam Shia na sunni nao shida tu, kuna bakwata...mambo ya dini haya mmmh.

Wakati niko znz nikakutana na binti, kaniambia lazima tuoane, nikajisemea moyoni you're not serious, ukweli ulivyothibitika alisarenda mwenyewe, alivyomwambia tu mamake kuwa nimepata bwana mkristo, timbwili lake sio la dunia hii.
 
Kwahyo yesu ni Mungu ?
 
Kwa waislam, dini inamfundisha mwanamke kuwa chombo cha starehe kwa mume wake/mwanaume!
Me nimezungumzia kwenye angle mbili ya utiifu kwa mwanaume na mahaba wanawake wa kislamu wapo vizuri kuhusu kuwa chombo Cha starehe uko sipo
 
Me nimezungumzia kwenye angle mbili ya utiifu kwa mwanaume na mahaba wanawake wa kislamu wapo vizuri kuhusu kuwa chombo Cha starehe uko sipo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu, haupo huko lakini kwa hawa wenzetu huo ndiyo ukweli!
 
Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.

Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Mkuu,
Ukipata wasaa em tiririka, uwatoe wadau tongotongo.. thanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…