View attachment 2210004
Ukisoma hapo mwanzo utaona alivosema "kama tulivyohadithiwa na wale mashahidi wenye kuyaona" maana yake ni passing stories ambazo zipo na watu wanazieleza hivyo kuandika kwako ni katika kuweka kumbukumbuku...
Wakristo tunaamini kuwa baada ya YESU kufa na kufufuka na kabla ya kupaa mbinguni alituachia ROHO MTAKATIFU ( Katika MUNGU kuna nafsi tatu ambae ni MUNGU BABA, Muumbaji,, MUNGU MWANA(YESU) na ROHO MTAKATIFU) ambae anatufunilia maono ya kimungu kwahiyo kwa yale yote aliyoandikwa kwenye biblia kipindi cha yesu uliachana na hadithi mengine yote ni maono ambayo ROHO MTAKATIFU aliwafunulia watu ili wapate kuandika neno la YESU ambae ni MUNGU MWANA.
Na kuhusu nani aliandika obviously ni Marko mwenyew ndo aliandika maana ndie aliefunulia maono na ROHO MTAKATIFU and lastly kila kitu kinachondikwa ni swala la Imani hatua ushahidi wa aliandika lini, saangapi wapu ila tunachoamini ni kuwa aliandika tunasoma ili tujifunze habari za MUNGU