Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Huo ndo ukweli hakuna haja ya kuthibisha YESU alikua Mwalimu na sio nabii alikufa msalabani, nabii Issa ni nabii na sio Mwalimu na hakufa msalabani, hao ni watu wawil tofautiMimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.
Komaa na imani yako chief wala haina haja ya kushindana, Allah atukuzwe.Umeandika uongo mtupu kuhusu Uislamu. Nitakuonyesha baadae,ila mimi naanza na hili, nakupa kazi ya kuonyesha pungufu hata moja katika uislamu ukiweza kufanya hivyo mimi nitaomba hii ID ifungwe na wewe utakuwa shahidi.
Cha ajabu waislamu ndo wanaolazimisha kwamba wako sawa kiukwel ni watu wawili tofautiYESU SIO NABII ISSA KWA SABABU HUYO NABII ISSA NA YESU NI WANA HISTORIA TOFAUTI MPK HAPO KUANZIA KUZALIWA MPK KUFAA MPK KUFUFUKA
UKOO WA YESU NA HUYO NABII ISSA MNAEMFANANISHA NAE NI TOFAUTII
KIUFUPI HAKUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA YESU KRISTO NA NABII ISSA KAMA KUNGEKUWA NA MFANANO NAFIKIRI STORY ZINGEKUWA ZIPO PAMOJA KIUFUPI NI HISTORIA MBILI TOFAUTI KABISAKABISA UKATAE AMA UKUBALI
Swali zuri, nimesoma elimu ya uhakiki wa habari na nina endelea kuisoma, sababu ni pana sana.
Jibu rahisi, hawakuwaona. Swali linakuja walizipataje habari zao ?
Kitambo cha kuondoka mfano Isack Newton na kuandikwa kwa mara ya kwanza ilikuwa ni lini ?
Mimi leo hii wewe nikikuomba unithibitishie ya kuwa Isack Newton aliwahi kuwepo duniani kielimu huwezi zaidi ya kuamini tu. Ila kwa upande wetu sisi huwa tunaitafuta "chain" na njia zaidi ya mona mpaka kufikia kwenye "Primary Source" kisha tunaanza kuihakiki.
Sasa Biblia yenu inakosa hizi sifa. Mimi nakuuliza swali la msingi, mathalani tumuongelee Marko/Mark. Yeye habari za Yesu alizipata wapi ? Kutoka kwa Yesu mpaja yeye kilipita kitambo gani ? Je alirithishwa kutoka kwa nani ?
Kingine je ni kweli Marko aliandika hiyo Injili inayoitwa ya Marko ? Au nani aliandika Injili hiyo ? Kwanini zinapingana ?
Biblia yote hiyo imeandikwa siyo kwa "Eye witness" toka kwa Yesu ndiyo maana ina pingana sana andiko moja na lingine, kingine baada ya hapo hamja ya hakiki maandiko hayo.
Kwanini habari zao zitofautiane na zote kama kweli zimetoka kwa mtu mmoja ? Usiishie tu kuandika kwamba haya yapo kwa Mathayo na haya hayapo, vipi kuhusu kutofautiana kabisa ?
Sahihi kabisa, na tunajua kabisa Yesu alikuwa na Wanafunzi kumi na mbili, je yupo yeyote ambaye amechukua habari za toka kwa Wanafunzi wake au kuna andiko lolote ambalo mwanafunzi wake akisimulia habari za Yesu kwa aidha kwa kusema "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" ?
Tofauti na kwa Mtume Muhammad, yeye wanafunzi wake waliyatunza na wakawasimulia wanafunzi wao kisha wakawasimulia walio kuja baada yao mpaka kufika kwetu. Hili kwenu halip.
Tatizo wachafu hamjisafishi kweny papa ndo ukweli wanawake wa kiislamu wanajisafishaNashukuru sijawahi kumpenda mwanaume wa kiislamu,,, na sijui Kama itatokea
Point...kila kitu ni mipango ya Mungu upendo sioni na siwezi kuushika ila nahisi upo kama imetokea nimependa sehemu nawezaje kujizuia maana kwa hakika hakitokei kitu bila Allah kubariki basi asingenipa upendo kwa Mwanaume dini tofauti hata hivyo tuliachana
Shida ya kinachomsumbua Kisai ni Hypocrisy yani kuona yeye ana haki ya kuamini habari za miaka maelfu za Koran Muhammad kazipata kutoka kwa jibril na Allah , ila hataki kuamini habari za Yesu zimetoka kwa waliona na msaada wa holy spirit , Yani anaona unae amini holy spirit kawapa habari ni waongo ila yeye anaamini jibril na Allah wamempa Muhammad ni wakweliView attachment 2210004
Ukisoma hapo mwanzo utaona alivosema "kama tulivyohadithiwa na wale mashahidi wenye kuyaona" maana yake ni passing stories ambazo zipo na watu wanazieleza hivyo kuandika kwako ni katika kuweka kumbukumbuku...
Wakristo tunaamini kuwa baada ya YESU kufa na kufufuka na kabla ya kupaa mbinguni alituachia ROHO MTAKATIFU ( Katika MUNGU kuna nafsi tatu ambae ni MUNGU BABA, Muumbaji,, MUNGU MWANA(YESU) na ROHO MTAKATIFU) ambae anatufunilia maono ya kimungu kwahiyo kwa yale yote aliyoandikwa kwenye biblia kipindi cha yesu uliachana na hadithi mengine yote ni maono ambayo ROHO MTAKATIFU aliwafunulia watu ili wapate kuandika neno la YESU ambae ni MUNGU MWANA.
Na kuhusu nani aliandika obviously ni Marko mwenyew ndo aliandika maana ndie aliefunulia maono na ROHO MTAKATIFU and lastly kila kitu kinachondikwa ni swala la Imani hatua ushahidi wa aliandika lini, saangapi wapu ila tunachoamini ni kuwa aliandika tunasoma ili tujifunze habari za MUNGU
As if I care,,Tatizo wachafu hamjisafishi kweny papa ndo ukweli wanawake wa kiislamu wanajisafisha
Wakristo wengi wasafi usoni kweny papa kama vumba la dagaa
Shida ya kinachomsumbua Kisai ni Hypocrisy yani kuona yeye ana haki ya kuamini habari za miaka maelfu za Koran Muhammad kazipata kutoka kwa jibril na Allah , ila hataki kuamini habari za Yesu zimetoka kwa waliona na msaada wa holy spirit , Yani anaona unae amini holy spirit kawapa habari ni waongo ila yeye anaamini jibril na Allah wamempa Muhammad ni wakweli
Unajali haujali ila ukweli ndo huo jisafisheni wachafu Sana mnatembea na manajisi chanzo Cha UTI seriously zingatieni hiloAs if I care,,
Ingekuwa najali Sasa,, 😂Unajali haujali ila ukweli ndo huo jisafisheni wachafu Sana mnatembea na manajisi chanzo Cha UTI seriously zingatieni hilo
Koran yote yaliyomo hakuna eye witness except Aya za dudu ya Muhammad ,zile za kula house girl kula mke wa mtoto wake n.kSwali zuri, nimesoma elimu ya uhakiki wa habari na nina endelea kuisoma, sababu ni pana sana.
Jibu rahisi, hawakuwaona. Swali linakuja walizipataje habari zao ?
Kitambo cha kuondoka mfano Isack Newton na kuandikwa kwa mara ya kwanza ilikuwa ni lini ?
Mimi leo hii wewe nikikuomba unithibitishie ya kuwa Isack Newton aliwahi kuwepo duniani kielimu huwezi zaidi ya kuamini tu. Ila kwa upande wetu sisi huwa tunaitafuta "chain" na njia zaidi ya mona mpaka kufikia kwenye "Primary Source" kisha tunaanza kuihakiki.
Sasa Biblia yenu inakosa hizi sifa. Mimi nakuuliza swali la msingi, mathalani tumuongelee Marko/Mark. Yeye habari za Yesu alizipata wapi ? Kutoka kwa Yesu mpaja yeye kilipita kitambo gani ? Je alirithishwa kutoka kwa nani ?
Kingine je ni kweli Marko aliandika hiyo Injili inayoitwa ya Marko ? Au nani aliandika Injili hiyo ? Kwanini zinapingana ?
Biblia yote hiyo imeandikwa siyo kwa "Eye witness" toka kwa Yesu ndiyo maana ina pingana sana andiko moja na lingine, kingine baada ya hapo hamja ya hakiki maandiko hayo.
Kwanini habari zao zitofautiane na zote kama kweli zimetoka kwa mtu mmoja ? Usiishie tu kuandika kwamba haya yapo kwa Mathayo na haya hayapo, vipi kuhusu kutofautiana kabisa ?
Sahihi kabisa, na tunajua kabisa Yesu alikuwa na Wanafunzi kumi na mbili, je yupo yeyote ambaye amechukua habari za toka kwa Wanafunzi wake au kuna andiko lolote ambalo mwanafunzi wake akisimulia habari za Yesu kwa aidha kwa kusema "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" ?
Tofauti na kwa Mtume Muhammad, yeye wanafunzi wake waliyatunza na wakawasimulia wanafunzi wao kisha wakawasimulia walio kuja baada yao mpaka kufika kwetu. Hili kwenu halip.
🤣🤣Message sentIngekuwa najali Sasa,, 😂
Kwangu??? 😂😂😂Hata usijihangaishe🤣🤣Message sent
Safi kabisa, swali langu rahisi sana tunajua wote Luka hakumuona Yesu. Katika andiko hapo juu halijawaainisha hao walio shuhudia na kuwahadithia kwa maana ya kuwa walihadithiwa na nani na kina nani waliwashuhudia. Sababu andilo la Luka la kwanza linaonyesha kabla yake wapo walio andika maandiko kinyume na wale walio wa shuhudia. Je walio shuhudia ni kina nani ? Wanafunzi wa Yesu au kina nani ?Ukisoma hapo mwanzo utaona alivosema "kama tulivyohadithiwa na wale mashahidi wenye kuyaona" maana yake ni passing stories ambazo zipo na watu wanazieleza hivyo kuandika kwako ni katika kuweka kumbukumbuku...
Mungu inakuwaje afe na alifufuka au alifufuliwa na kama alifufuliwa nani alimfufua ?Wakristo tunaamini kuwa baada ya YESU kufa na kufufuka na kabla ya kupaa mbinguni alituachia ROHO MTAKATIFU ( Katika MUNGU kuna nafsi tatu ambae ni MUNGU BABA, Muumbaji,, MUNGU MWANA(YESU) na ROHO MTAKATIFU) ambae anatufunilia maono ya kimungu kwahiyo kwa yale yote aliyoandikwa kwenye biblia kipindi cha yesu uliachana na hadithi mengine yote ni maono ambayo ROHO MTAKATIFU aliwafunulia watu ili wapate kuandika neno
Nisaidie maswali yafuatayo :Na kuhusu nani aliandika obviously ni Marko mwenyew ndo aliandika maana ndie aliefunulia maono na ROHO MTAKATIFU and lastly kila kitu kinachondikwa ni swala la Imani hatua ushahidi wa aliandika lini, saangapi wapu ila tunachoamini ni kuwa aliandika tunasoma ili tujifunze habari za MUNGU
Abdool son of Mutah, wewe ni mpumbavu flaniSafi kabisa, swali langu rahisi sana tunajua wote Luka hakumuona Yesu. Katika andiko hapo juu halijawaainisha hao walio shuhudia na kuwahadithia kwa maana ya kuwa walihadithiwa na nani na kina nani waliwashuhudia. Sababu andilo la Luka la kwanza linaonyesha kabla yake wapo walio andika maandiko kinyume na wale walio wa shuhudia. Je walio shuhudia ni kina nani ? Wanafunzi wa Yesu au kina nani ?
Pili, hujajibu hoja yangu ya kunyesha ya kuwa matini inatakiwa isomeke hivi "Nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" au "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "Ametuhadithia mwanafunzi wa Yesu kadha wa kadha"
Mungu inakuwaje afe na alifufuka au alifufuliwa na kama alifufuliwa nani alimfufua ?
Wapi Yesu anasema ya kuwa naondoka nawaachia Roho mtakatifu kwa ajili ya kuwafunulia mambo ?
Tutajuaje kama hayo ni maono na si maoni ya waja ?
Unakubali kwamba Yesu ameondoka hakuacha kitu kinachoitwa BIBLIA ?
Nisaidie maswali yafuatayo :
1. Nipe ushahidi ya kuwa Marko alifunuliwa hayo aliyo yaandika.
2. Nipe ushahidi wa kuwa ni kweli Marko ni yeye aliandika hayo aliyo yaandika.
3. Sitaki kujua aliandika lini, ila nataka ushahidi unao onyesha ya kuwa ni kweli aliandika.
Uchafu/usafi wa mtu hauna uhusiano na dini.Tatizo wachafu hamjisafishi kweny papa ndo ukweli wanawake wa kiislamu wanajisafisha
Wakristo wengi wasafi usoni kweny papa kama vumba la dagaa
Sasa wewe haupo kwa ajili ya kuujua ukweli bali kufurahisha nafsi yako. Ndiyo maana kwa tabia hizi zinawafanya msiwe mna hoji juu ya maandiko yenu.Koran yote yaliyomo hakuna eye witness except Aya za dudu ya Muhammad ,zile za kula house girl kula mke wa mtoto wake n.k
Mtume Muhammad alifunuliwa hizo habari na Mola mwenyewe kupitia Malaika Jibril hii ilipelekea mpaka wale wasio mkubali wakubali utume wakez kwamba iweje mtu asiye jua kusoma na kuandika apatie katika hizi habari ?Muhammad habari za Musa za miaka elfu 2 kabla yake haijulikani kazitoa wapi
Isa wa Koran alikuwa na maswahaba na haijulikani waliandika nini?
Huu uongo hata akija mkana mungu mmoja humu ndani atakupinga, sababu mkana mungu huyo alianzisha mada kutaka kuikosoa Qur'aan akaweka rehea za kihistoria kuhusu kukusanywa kwa Qur'aan, shida najadiliana na mtu ambaye si msomaji, tangu mtume yuko hai Maswahaba zake walikuwa wanaandika yale aliyo kuwa anawasomea.Wanafunzi wa mtume hakuna kitu waliandika ila baada ya miaka 200 ndio tunasikia flani alisema alimsikia flani akisema
Hili nimeshalijibu tayari.Nina swali la muhimu Sana kwako
Muhammad story za Isa, Musa , yakub n.k alitoa wapi? Na isa alikuwepo miaka mingapi kabla ya Muhammad?
Nacheka sana, nilikwambia tangu mwanzo mimi naandika elimu wewe unaandika umbeya na upotoshaji. Tulia nikutie adabu, ninapoamua kukukalia kimya sababu nakumudu na najua wewe ni mwepesi sana, sababu hufanyi utafiti. Huwa nasema hivi nikiamua kuwa naweka maandiko yenu humu si mtapoteana ?Abdool son of Mutah, wewe ni mpumbavu flani
Nimekuuliza unaweza kunipa chain ya Muhammad na Isa ?
Muhammad na Musa ?
Acha kuendekeza mutah uwe na akili