Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Maswali ambayo nakuuliza yana maana sana, ila kutoyajibu ni kujipoteza wewe mwenyewe.

Allah ana mikono miwili ipo upande wa kuume, Allah ana cheka,sasa hiv viungo vingine ulivyo viongeza wewe naomba utupe ushabidi viungo kama penis, makalio. Unajua ukiandila jambo hutakiwi uandike tu ili kufurahisha nafsi yako hii haisaidii chochote wala kubadilisha ukweli.

Weka andiko lenu hapa wapi Yesu alisema yeye ni mungu na ni mwanadamu.

Siyo Yesu tu hata wewe leo hii ukifa unakufa mwili tu Roho haifi. Sasa sijui unamtofautisha vipi Yesu na wewe kimaumbile ? Tofauti yako na Yesu ni kuwa yeye ni nabii na mtume wa Allah basi.

Weka andiko linalosema Yesu aliufufua ule mwili wake.

Naomba uniambie maneno haya ameyasema nani ?

“Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]

Huyu nani na alitumwa na nani ?

“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]

Namalizia na hili :

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Wakorintho 15.15
 
😂😂😂 Haujui Allah alisema atapiga machine Malaika
 
“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]


Sasa hapo unashindwa vipi kumuona Mungu katika hilo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Weka andiko linalosema Yesu aliufufua ule mwili wake.
Abdool

John 10:18 No man taketh it from me, but I lay it down of myself. I have power to lay it down, and I have power to take it again.

Yesu apo alisema ule mwili human flesh hakuna anaeweza kuua ni yeye kaamua ufe na ataufufua upo kijana mutah boy
 
Soma hiyo injinia usitake kupotosha



Kufufuka Kwa Wafu

12 Basi kama tumehubiri ya kwamba Kristo alifufuliwa kutoka kwa wafu, inakuwaje baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu? 13 Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi Kristo hakufufuliwa. 14 Na ikiwa Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu, mahubiri yetu ni bure na imani yenu ni bure. 15 Na zaidi ya hayo, tunaonekana kuwa tunamshuhudia Mungu uongo, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu ya kuwa alimfufua Kristo kutoka kwa wafu. Na kumbe hakumfu fua, kama kweli wafu hawafufuliwi. 16 Kwa kuwa kama wafu hawa fufuliwi, basi hata Kristo hajafufuliwa. 17 Na ikiwa Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni bure; nanyi bado mngali katika dhambi zenu. 18 Pia waamini wote waliokufa wakimwamini Yesu wamepotea. 19 Na kama imani yetu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, basi sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wengine wo wote duniani. 20 Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, matunda ya kwanza ya wote waliolala. 21 Kwa maana kama vile kifo kilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja. 22 Kwa kuwa katika Adamu watu wote hufa, vivyo hivyo katika Kristo wote wata fanywa kuwa hai. 23 Lakini kila mmoja kwa mpango: Kristo ni mat unda ya kwanza ya ufufuo; kisha wale walio wake wakati atakapo kuja watafufuliwa. 24 Ndipo mwisho utafika, wakati ambao ataka bidhi Ufalme kwa Mungu Baba, akiisha angamiza kila mamlaka na uwezo na nguvu. 25 Kwa maana Kristo atamiliki mpaka Mungu ataka powaweka adui zake chini ya miguu yake. 26 Adui wa mwisho kuan gamizwa ni kifo. 27 “Kwa maana Mungu ameweka kila kitu chini ya utawala wake, chini ya miguu yake.” Ni wazi kwamba maneno haya, “Kila kitu kimewekwa chini ya utawala wake,” hayamjumlishi na Mungu ambaye ameweka vitu vyote chini ya Kristo. 28 Vitu vyote vikishawekwa chini ya utawala wake, ndipo naye Mwana atakuwa chini ya Mungu ambaye ameviweka vitu vyote chini yake, ili Mungu awe yote katika yote.
29 Vinginevyo, kwa nini watu wanabatizwa kwa niaba ya wafu? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, mbona watu wanabatizwa kwa niaba yao? 30 Na kwa upande wetu kwa nini tunajitia hatarini kila wakati? 31 Nakufa kila siku, nasema kweli ndugu zangu, kama ninavyojivuna kwa ajili yenu katika Kristo Yesu, Bwana wetu. 32 Kama nilipigana na wanyama wakali huko Efeso kwa sababu za kibinadamu, nimepata faida gani? Kama wafu hawafufuliwi, basi, “Tule na kunywa, kwa maana kesho tutakufa.” 33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.” 34 Pateni tena fahamu, muache kutenda dhambi. Kwa maana baadhi yenu hawam jui Mungu; nasema mambo haya ili muone aibu.


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hadithi iko wazi huyu alikuwa Mkristo kisha akaingia Uislamu. Maana yake aliandika wahayh akiwa Muislamu.

Nataka andiko yaani ushahidi unao onyesha Mkristo aliandika Wahayh. Usiwe mjinga kiasi hiki, mambo yako wazi haya.
 

Wakina nani walimshuhudia hapa na hapa Kristo ni nani ? Mbona alifufuliwa na mbona alikuwa analia na kutaka msaada ? Hapa lipi andiko sahihi ? Kati ys hilo la Yohana na haya mengine ?

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
(1 Wakorintho 15.15)

Hapa inakuwaje tena Mungu analia ?

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?
(Mathayo 27.46)

Huyu huyu Yohana tena anasema haya :

“Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]

Kwa andiko hili la Yohana linapingana na andiko lake la huko juu, na hili linaonyesha ya kuwa Yesu alidanganya (Mtume wa Allah hasemi uongo) au huyo Yohana alimzulia Uongo Yesu, kwa kusema yeye ndiyo mwenye uwezo wa kujifisha na kujifufua, sasa unajiuliza akifa uwezo wa kujifufua unatoka wapi ?
 
Sasa muislam na mkiristo mwenye Elimu ni nani kwenye hii dunia?unatishia watu kusoma
Elimu ya nini kijana unayo zungumzia wewe ?

Kama kuhusu elimu ya kujitambua hakuna wanao tuzidi sisi.

Kuhusu secular si elimu ya kumtambia mtu, sababu ina ujinga na uongo mwingi. Elimu ambayo haina uwezo wa kumfundisha mtu hata namna ya kuvas nguo au kula unataka umtambie mtu ?

Natongea ukweli ya kuwa hamsomi vitabu vyenu na hamuhoji huu ndiyo ukweli mngekuwa mnahoji msinge salia katika UKRISTO, shida akili zenu mmewaachia viongozi wenu.
 
Sasa ndiyo utuonyeshe huo uungu wa Yesu wakati hawezi kufanya jambo lolote peke yake maana yake anahitaji msaada toka kwa yule mkamilifu ambaye ameuumba na kumtuma kufikisha injili kwa watu.

Kwa maana ya kuwa hafufui ila kwa uwezo wa Mola muumba, hafanyi chochote ila kwa uwezo wa Mola aliye muumba. Andiko liko wazi sana.
 
Hakuna maali Yesu kadanganya , kumbuka hakutenda dhambi

Umetaka andiko Yesu anasema ataufufua mwili nimeweka unakuja kuzuka na maswali mengine mutah huwa inaharibu akili

John 10:18 No man taketh it from me, but I lay it down of myself. I have power to lay it down, and I have power to take it again...

Ili kuelewa lazima ujue tofauti hizi kwanza
Allah = physical being creature
Jehovah = spirit
 
Linapokuja swala la elimu kuna watu wajinga kama waislamu?
 

Kukuelekeza wewe ni kazi mana hutaki kujifunza unabishana hilo ndo tatizo lako yani wewe unataka wakristo tukielewa lakin wewe hutaki kuelewa upande wa pili mkuu legeza iyo ubongo wako unless utaishia kubishana afu hupati faida yoyote hata kama utaandika sura za iyo Quraan sijui hamna mtu ataelewa


Kule juu nilikueleza sisi tunasema YESU ni MUNGU. Katika MUNGU kuna nafsi tatu ambazo ni MUNGU BABA(Mwenyezi MUNGU ambaye ametuumba) alafu MUNGU MWANA (ambaye ndo YESU sasa yeye alikuja kutukomboa kwenye dhambi yaani MUNGU katika umbo la binadamu. Binadamu sisi hatuwezi kuelewa kitu au mtu ambae yupo tofaut na sisi hivyo YESU alishuka katika umbo la mwanadamu ili kuendana na sisi na kuishi na sisi ili tujifunze kutoka kwakwe. Alafu nafsi ya mwisho ni MUNGU ROHO MTAKATIFU ambae kazi yake ni kututakasa, kutuletea maono na kutupatia mwingizo na huyu aliachwa kwetu kama kiongozi baada ya YESU kupaa mbinguni

Umekazana kusema alikua na na mikono na miguu ndio alikuja katika umbo la kibinadamu[emoji2356]

Alafu alikuafa kwasababu alikua kwenye umbo la kibinadamu na kufufuka kwakwe ndo kunadhihirisha UMUNGU ndani yake maana hakuna binadamu wa kawaida anaeza akafa na kufufuka kama yupo mtaje nan???

Kuna mda acha kukaza kichwa mkuu jaribu kujifunza dini hizi ni Iman unavyosema wakristo mazwazwa hata sisi tumawaona nyie mazwazwa vile vile[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Huwa sipendi kutumia maandiko yenu sababu yanaudhalilisha unabii na mitume ila nikianza kutumia kama hivi lazima mtapoteana. Biblia ina mkanganyiko mwingi sana.

Sasa kati ya hayo maandiko yapi sahihi na lili la kuchukuliwa ? Sasa usilete habari za Mutah ambazo hazipo wala sihusiani nazo, na ujibu maswali yangu.

Nasubiri hitimisho kati ya maandiko hayo yapi ya kweli na yapi ya uongo ?
 
Huwa sipendi kutumia maandiko yenu sababu yanaudhalilisha unabii na mitume ila nikianza kutumia kama hivi lazima mtapoteana. Biblia ina mkanganyiko mwingi sana.

Sasa kati ya hayo maandiko yapi sahihi na lili la kuchukuliwa ? Sasa usilete habari za Mutah ambazo hazipo wala sihusiani nazo, na ujibu maswali yangu.

Nasubiri hitimisho kati ya maandiko hayo yapi ya kweli na yapi ya uongo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…