Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

UNABISHANA NA MTU MWENYE ROHO NGUMU ANA UWEZO WA KUBEBA BOMU AKAJIRIPUA

WATU KAMA HAWA NI WA KUKUTANA NA YESU USO KWA USO HUYU NI MFANO MZURI WA SAUL

NA KABLA YA KUMALIZA MWENDO DUNIANI WEWE LAZIMA UMKIRI YESU KWA KINYWA CHAKO YA KWAMBA ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA KIBURI CHAKO NA KWA KUPIGWA KWAKE DUNIA NZIMA IMEPONA

AMEN
Yesu ni nani mpka akiriwe ? Ni Mungu Muumba mbingu na ardhi au ?
 
Na kuapa una apa tena bibie ?

Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.

Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.

Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.

Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
Inauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyeakiwa ni Muislam na mie Mkristo;

Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.

Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakini nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?

Binti alikuwa so so down, hana mzuka kabisa, mie nafosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakini ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristo hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia hivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.

Hivi huwa kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? Na raia huWa hawasemi au ni nini? Why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku, hakuna kuingiliana?
Nyote mmelostika kufuata dini za watu zisizo na mashiko kwetu Waafrika. Waafrika tulikuwa hatubaguani kabla ya kuja upuuzi wa hizi dini za watu wa mashariki ya kati, tumekuwa wajinga kupindukia na hatutaki kusoma historia kujuwa ukweli wa hizi dini. Tunasikitisha mno kwa ujinga tulionao.
 
Son of Mutah, nilisha kwambia Mungu Jehovah ni spirit na mungu Allah ni physical being usichanganye unapo uliza swali

Mungu hafi , human flesh inakufa

Kwa logic ya mungu Allah ukileta kwa Yesu haiwezekani maana yeye Allah ni object inayoonekana ina mguu mmoja , jicho ,mikono miwili upande mmoja na penis
allah is dead already. I always tell them.allah is dead.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Na kuapa una apa tena bibie ?

Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.

Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.

Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.

Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
Dini ya kuletewa unamtenga mwanao wa kumzaa huo ndio uchizi dini mnasema upendo na amani lakini matendo ni ya chuki na kibaguzi. Halafu Waafrika kutooana kisa dini ni ufala mtupu
 
Dini ya kuletewa unamtenga mwanao wa kumzaa huo ndio uchizi dini mnasema upendo na amani lakini matendo ni ya chuki na kibaguzi. Halafu Waafrika kutooana kisa dini ni ufala mtupu
Shida akili huna.

Mola wetu hapendi watu wajinga wenye kuendekeza hisia na upendo wa kijinga. Dini kwa ajili ya watu wote ndiyo maana ikawa sharti ili ufaulu na kufikia kilele cha kuumbwa kweko lakini upite njia hii na ndiyo DINI hiyo.
 
Tillikua na jukwaani la dini nondo zilishushwa kibao kule wamelifuta

Hata hapa tukiamza shusha nondo uzi utafungwa na wengine kula ban

So kama unataka nenda katafute uone mwenyewe ya kwamba hao watu wawili tofauti

Akili unazo,nguvu unazo na uwezo unao usituchoshe
Hili hamna uwezo nalo nyote mpaka wakubwa zenu.
 
Mutah boy una majini tena yenye nguvu sana , najua jina Yesu huwa mna lisema humu tu ila mnajua wazi Koran hakuna jina Yesu

Koran ni kakitabu hakana faida yoyote , ka kitabu ambacho ukileta kwenye biblia kanaishia pale panaposema yaliyomo, mashahiri yasiyo eleweka na kikubwa ni kitabu majini yameandikwa surah nzima ,

Nilipo Cheka unakuta Allah anaongea Aya tatu kashamaliza surah 😂😂😂😂😂
Naona huna hoja. Ukiwa na hoja nijulishe.

Nipo.
 
Son of Mutah, nilisha kwambia Mungu Jehovah ni spirit na mungu Allah ni physical being usichanganye unapo uliza swali

Mungu hafi , human flesh inakufa

Kwa logic ya mungu Allah ukileta kwa Yesu haiwezekani maana yeye Allah ni object inayoonekana ina mguu mmoja , jicho ,mikono miwili upande mmoja na penis
Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.

Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?

Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
 
Mutah boy Ni wengi walimsaidia kuandika, ila wakristo ndio asilimia kubwa wameandika Koran na kumuingiza chaka Muhammad
Nitajie wanne tu Wakristo walioandika Qur'aan. Yaani kuna muda unaandika mambo ambayo hata tukikuomba ushahidi unajua huna.

Kingine, maswali ninayo wauliza mjitahidi kuyajibu yatawasaidia sana, shauri yenu.
 
Shida akili huna.

Mola wetu hapendi watu wajinga wenye kuendekeza hisia na upendo wa kijinga. Dini kwa ajili ya watu wote ndiyo maana ikawa sharti ili ufaulu na kufikia kilele cha kuumbwa kweko lakini upite njia hii na ndiyo DINI hiyo.
Mtu anazaliwa hajui chochote zaid ya kunyonya huyo Mola kafanyaje kwenye maisha ya mtu. Waafrika tuamke dini ni utapeli wa wakoloni
 
Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.

Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?

Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mutah boy , hafs kawapa Koran unayosoma na hafs ni miaka zaidi ya 200 baada ya Muhammad kufa kwa sumu
Sasa si ndiyo uweke ushahidi kijana unashindwa wapi ? Shida yenu hamsomi yaani mmekaa kimbeya mbeya sana mkisikia jambo mnalichukua hamlifanyii utafiti.
 
Back
Top Bottom