Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huyo jamaa bwana, kanishangaza sana😂.Wewe Sema unapenda vishungi usiwasingizie wanaume wenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa bwana, kanishangaza sana😂.Wewe Sema unapenda vishungi usiwasingizie wanaume wenzio.
Unasema Kuna mungu mwezi au?Fact
Hatuabudu Mungu mmoja kabisa ,huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawaujui
Pia kati ya vitabu hivi viwili Biblia na Quran kimoja ni copy and pest ya kingine na vinatofautishwa na lugha iliyotumika ndani yake na wahusika wa nyongeza.Allah sio Jehova!
Mungu aliyejifunua kupitia Yesu ndio Jehovah,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo(Israel)
!yuko sahihi!
Kila Mungu/mungu ana namna yake ya kujifunua kiagano kwa wanaomuabudu!
Ss Mungu,Jehovah alijifunua kupitia Yesu kwenye agano jipya!
Huwezi sema ndo huyo huyo aliyejifunua kupitia mtume Muhammad!
Ni vitu viwili tofauti.
Unataka kusema Isa alikuwa mwarabu na Yesu myahudi?Ndo ushangae
Wakati ndo ukweli!
Hatuabudu Mungu mmoja, issa sio Yesu! Period!
Ikiwa unapingana na hoja ya kwamba usafi wa mwanamke haingiliani na dini, naomba kujua dini ya mama yako mzazi ili nikuulize kitu.Kwenye Hili naungana na wewe
YUPO KWENYE BIBLIA. ANAITWA BARNABAMimi nimejaribu kusoma uislamu kidogo gugo, kuna tofauti ndogo sana kati ya dini hizi mbili, ni Yesu kuwa mwana wa Mungu na nabij Issa na Mtume Mohamed sijui alitokea wapi, kwenye ukristo hayupo.
Fact!Ibrahimu hakuwa na dini.
Alimwamini Mungu tu.
Dini zilikuja baadae sana.
Kwani uislamu si umeletwa na Muhammed? Sasa Ibrahim alikuja kuishi baadae?
Sijaelewa ulichokiandika.Mbona tunauona wakristo wanaona waislamu?
Nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi mpaka hapa, nimecheka sana😄.Na kuapa una apa tena bibie ?
Kama mtoto mjinga mjinga unamfanyaje ? Kwani alilazimishwa kufanya hayo aliyo yafanya ? Wazazi wako sahihi na Mola awalipe kheri kwa msimamo wao.
Watoto wa kike wana upendo wa kijinga wa Tamthiliya, hapo huenda wazazi walimpa sana nasaha lakini kwa kupenda kwa watoto wa kike akakaidi na huenda aliwajibu mbovu sana wazazi wake.
Wengi wanahisi hakuna maisha baada ya kupenda na kuzaa, bali kuna maisha baada ya kifo na mengineyo unaandaa nini huko unakoenda.
Allah awaepushe mtihani huu mabinti zangu na awahifadhi pia.
Mpaka unakufa huwezi kuthibitisha ya kuwa mtume au yoyote alikuwa Yahudi. Inaonekana huujui Uyahudi.Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.
Katika hili, sababu za nyinyi kuachana sio dini kwakua haukufanya maamzi kutoka na imani uliyojifunza, bali ni ubeberu(kutokubali kuburuzwa na mwanamke)Mimi ilitokea tu demu mlokole akataka kunihamishia kwao mm Protestant tukaamua kuachana mana si vyema mwanaume ukubali kuburuzwa
Uislam ni dini ya mwisho , Sasa ilikuwaje ikawa kabla ya uyahudi na ukristo? Hujui kuwa hujui. Ibrahim alikuwa myahudi na mitume wote kumtoa Mohamed walikuwa wayahudi by default.
Ukiwa na hoja ya kujadiliana na mimi au kukosoa kielimu nilicho kiandika nijulishe ila sijadiliani na wajinga walio pea.Nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi mpaka hapa, nimecheka sana😄.
Sijui huu upumbavu wa dini utawatoka lini tu, ni lini wewe ulikufa ukajua kwamba huko kuna maisha? Ukileta story za Quran au bible nitakuuliza, kwanini hakuna muafrika aliyehusika kwenye hiyo kitabu zaidi ya waarabu tu na wazungu?
Kuna kujadili maandiko ila wewe ni aina ya wale watu wenye kujiona wapo sahihi katika kila kitu, unahubiri chuki kiasi kwamba hakuna anaewezatamani hata kuamini unachoamini ikiwa matokeo yake ni kuwa na roho katili kiasi hicho.
Huu ndiyo ujinga ambao Wakristo mnao, yaani mnaposhindwa hoja mnaanza kuwazulia watu uongo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo hawana. Sasa najiuliza kama hivi ndivyo mlivyo kwanini msiwe wajinga juu ya dini yenu ?!UNABISHANA NA MTU MWENYE ROHO NGUMU ANA UWEZO WA KUBEBA BOMU AKAJIRIPUA
Mimi sina haja ya kukutana na Yesu sababu nina muamini kama ni nabii na mtume wa Allah, hakuna cha zaidi ya hapo, hayo ya kusema ni mungu au mwana wa mungu hayo mnamzushia nyinyi na yeye hakuuachs ukristo. Wafuasi wa Yesu walio muamini na kumfata nao walikuwa Waislamu na watalipwa pepo ila siyo nyinyi mliokengeuka.WATU KAMA HAWA NI WA KUKUTANA NA YESU USO KWA
Hili halipo sababu mimi niko zaidi ya ninachokiandika hapa.NA KABLA YA KUMALIZA MWENDO DUNIANI WEWE LAZIMA UMKIRI YESU KWA KINYWA CHAKO YA KWAMBA ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA KIBURI CHAKO NA KWA KUPIGWA KWAKE DUNIA NZIMA IMEPONA
AMEN
Hawasomagi ili waelewe ila wanakaririshwa na kulazimishwa kuamini kwa mabavu na vitishoHAYO NI MACHACHE KATIKA MENGI JAMANI MIMI NAWASHANGAA SANA YANI MTU KAKAZANA KUSEMA YESU NDIO NABII ISSA
BIBLIA IMEANDIKWA KWA KISWAHILI NUNUA UISOMEE UACHE KUPOTOSHWA NA KAMA HUWEZI KUNUNUA SIKU HIZI IMEWEKWA KATIKA APPLICATION UNAINGIA PLAYSTORE UNAIKUTA HUKU TENA IPO NA YA KIINGEREZA NI NZURI ZAIDI
USIKUBALI KUWA KIPOFU KUMEZESHWA VITU VYA UONGO
Wadau huu Uzi unanihusu 100%.nipo kwenye mahusiano na mwanamke alikua muislam Imani Kali(suni) ila Kwa sasa amebadili dini kuwa mkristo.tena kawa mkristo kwelkwel ,kila out anataka tule mdudu(kitmoto).Ila itoshe kusema watu kubadili dini sio Jambo dogo, huwa ananiambia madhila wanayopitia waislam na mengine mengi,Anashukuru Mungu kumfunulia ukweli na ana Amani Yuko mahali sahihi,hakubadili dini kisa Mimi mkristo ,alipata ufunuo ye mwenyewe,ikabid atafte kanisa ,huko kanisani akakutana na mchungaj naye alikua muislam na mume wake...mwanamke wazaz na ndugu zake wote waislam."'Hawasomagi ili waelewe ila wanakaririshwa na kulazimishwa kuamini kwa mabavu na vitisho
Mutah boy Ni wengi walimsaidia kuandika, ila wakristo ndio asilimia kubwa wameandika Koran na kumuingiza chaka MuhammadNaona unauliza swali la uongo. Labda unisaidie wewe nani ameandika Qur'aan ?
Son of Mutah, nilisha kwambia Mungu Jehovah ni spirit na mungu Allah ni physical being usichanganye unapo uliza swaliSafi kabisa, swali langu rahisi sana tunajua wote Luka hakumuona Yesu. Katika andiko hapo juu halijawaainisha hao walio shuhudia na kuwahadithia kwa maana ya kuwa walihadithiwa na nani na kina nani waliwashuhudia. Sababu andilo la Luka la kwanza linaonyesha kabla yake wapo walio andika maandiko kinyume na wale walio wa shuhudia. Je walio shuhudia ni kina nani ? Wanafunzi wa Yesu au kina nani ?
Pili, hujajibu hoja yangu ya kunyesha ya kuwa matini inatakiwa isomeke hivi "Nimemsikia Yesu akisema kadha wa kadha" au "Nimemuona Yesu akisema kadha wa kadha" au "Ametuhadithia mwanafunzi wa Yesu kadha wa kadha"
Mungu inakuwaje afe na alifufuka au alifufuliwa na kama alifufuliwa nani alimfufua ?
Wapi Yesu anasema ya kuwa naondoka nawaachia Roho mtakatifu kwa ajili ya kuwafunulia mambo ?
Tutajuaje kama hayo ni maono na si maoni ya waja ?
Unakubali kwamba Yesu ameondoka hakuacha kitu kinachoitwa BIBLIA ?
Nisaidie maswali yafuatayo :
1. Nipe ushahidi ya kuwa Marko alifunuliwa hayo aliyo yaandika.
2. Nipe ushahidi wa kuwa ni kweli Marko ni yeye aliandika hayo aliyo yaandika.
3. Sitaki kujua aliandika lini, ila nataka ushahidi unao onyesha ya kuwa ni kweli aliandika.
Mutah boy una majini tena yenye nguvu sana , najua jina Yesu huwa mna lisema humu tu ila mnajua wazi Koran hakuna jina YesuHuu ndiyo ujinga ambao Wakristo mnao, yaani mnaposhindwa hoja mnaanza kuwazulia watu uongo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo hawana. Sasa najiuliza kama hivi ndivyo mlivyo kwanini msiwe wajinga juu ya dini yenu ?!
Yaani humu mtu ukiandika ukweli unaambiwa gaidi ukiwakosoa watu unaambiwa una roho ngumu, sasa hapa nikikwambia uonyeshe hayo uliyo yasema sijui utaonyesha nini ?
Sifa ya uadilifu Wakristo hamkupewa nyinyi.
Mimi sina haja ya kukutana na Yesu sababu nina muamini kama ni nabii na mtume wa Allah, hakuna cha zaidi ya hapo, hayo ya kusema ni mungu au mwana wa mungu hayo mnamzushia nyinyi na yeye hakuuachs ukristo. Wafuasi wa Yesu walio muamini na kumfata nao walikuwa Waislamu na watalipwa pepo ila siyo nyinyi mliokengeuka.
Hili halipo sababu mimi niko zaidi ya ninachokiandika hapa.
Naapa kwa Mola, laiti kama Wakristo mngekuwa mansoma na kuhoji maandiko yetu, pasingesalia Mkristo hata mmoja zaidi ya hao viongozi wenu wanao faidika kupitia nyinyi.
Tillikua na jukwaani la dini nondo zilishushwa kibao kule wamelifutaMimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.