Wewe ndiyo umesema haya na mimi nataka unipe ushahidi aliyasema wapi haya ? Wenzako huu ujinga hawauoni nikisema mimi ukweli, utawasikia mara wewe gaidi mara unatumia lugha ngumu.Unajua tusipoteza muda Allah alisema atapiga machine houris au Malaika akitaka mtoto
Kijana usipate shida,tusimamishe hoja kati yangu na wewe na wenzako na wakubwa zako wote uone nani mwenye akili.Linapokuja swala la elimu kuna watu wajinga kama waislamu?
Nimewawekea maandiko yenu muyaweke sawa na mtuambie yapi ya kweli na yapi ya uongo. Soma huko juu. Mimi ukiangalia majadiliano yangu na Wakristo sipendi kutumia maandiko yenu sababu yana ujinga meingi, yamejaa ushirikina, uongo, kupingana yenyewe kwa yenyewe, sasa leo nimesema nibadilishe usulubu kidogo, kinachotokea mnakimbia maandiko yenu.Kukuelekeza wewe ni kazi mana hutaki kujifunza unabishana hilo ndo tatizo lako yani wewe unataka wakristo tukielewa lakin wewe hutaki kuelewa upande wa pili mkuu legeza iyo ubongo wako unless utaishia kubishana afu hupati faida yoyote hata kama utaandika sura za iyo Quraan sijui hamna mtu ataelewa
Sasa nachotaka mimi ni nyinyi mtueleze haya mafundisho ya Yesu kuwa ni Mungu au Utatu nani eyafundisha ? Ni Yesu mwenyewe na kama ni Yesu wapi ameyafundisha ?Kule juu nilikueleza sisi tunasema YESU ni MUNGU. Katika MUNGU kuna nafsi tatu ambazo ni MUNGU BABA(Mwenyezi MUNGU ambaye ametuumba) alafu MUNGU MWANA (ambaye ndo YESU sasa yeye alikuja kutukomboa kwenye dhambi yaani MUNGU katika umbo la binadamu. Binadamu sisi hatuwezi kuelewa kitu au mtu ambae yupo tofaut na sisi hivyo YESU alishuka katika umbo la mwanadamu ili kuendana na sisi na kuishi na sisi ili tujifunze kutoka kwakwe. Alafu nafsi ya mwisho ni MUNGU ROHO MTAKATIFU ambae kazi yake ni kututakasa, kutuletea maono na kutupatia mwingizo na huyu aliachwa kwetu kama kiongozi baada ya YESU kupaa mbinguni
Sifa za Mungu hafi wala haitaji msaada vipi Yesu atake msaada na afe ? Lakini mbona alikiri ya kuwa yeye hafanyi mambo yoyote ila kwa msaada ?Alafu alikuafa kwasababu alikua kwenye umbo la kibinadamu na kufufuka kwakwe ndo kunadhihirisha UMUNGU ndani yake maana hakuna binadamu wa kawaida anaeza akafa na kufufuka kama yupo mtaje nan???
Wewe fala kweli kwani hapo ulipo wewe huna roho...? Zingatia kitu kimoja Mungu anaweza yote kujigeuza mtu akaishi nasi akiwa kama binadamu mwenye kichwa na mikono si chochote kwake.Sasa Yesu si mnasema ni Mungu ? Mbona alikuwa ana miguu, mikono, kichwa vile navyo ni roho ? Wakristo mazwazwa sana.
Yesu mnasema ni Mungu mbona alikufa na mnasema akafufuka ? Nani alimfufua mungu wenu aliye kufa ?
Halafu kwanini maandiko yenu yote yenye utata ndiyo mnaingiza maana za kuwa yanasema Yesu ni mungu ila maandiko yaliyo nyooka yanayo thibitisha kuwa siyo mungu mnayapuuza ? Akili zenu haziko sawa.
Nimewawekea maandiko yenu muyaweke sawa na mtuambie yapi ya kweli na yapi ya uongo. Soma huko juu. Mimi ukiangalia majadiliano yangu na Wakristo sipendi kutumia maandiko yenu sababu yana ujinga meingi, yamejaa ushirikina, uongo, kupingana yenyewe kwa yenyewe, sasa leo nimesema nibadilishe usulubu kidogo, kinachotokea mnakimbia maandiko yenu.
Sasa nachotaka mimi ni nyinyi mtueleze haya mafundisho ya Yesu kuwa ni Mungu au Utatu nani eyafundisha ? Ni Yesu mwenyewe na kama ni Yesu wapi ameyafundisha ?
Kadhalika muelezee vipi maandiko yenu yanakinzana ? Yapi ya kuchukua je ni ysle ya wazi yanayo sema Yesu si mungu au ni yale tata yenye kusemwa yamemaanisha Yesu ni Mungu ?
Maelezo yako yanaonyesha mnampa udosari Mola na kuonyesha ya kuwa hana uwezo katika ufanyaji wa mambo yake wakati si sahihi.
Sifa za Mungu hafi wala haitaji msaada vipi Yesu atake msaada na afe ? Lakini mbona alikiri ya kuwa yeye hafanyi mambo yoyote ila kwa msaada ?
Kingine mnapo sema ni Mwana wa Mungu, mwana hii ya kinasaba au ya nini ? Ili mtoto awe wa fulani sharti linatakiwa liweje ?
Ndiyo maana tuna sema kuna mwana masumbwi na mwanamichezo, hii haimaanishi ya kuwa ni mtoto wa michezo au mtoto wa kinasaba wa masumbwi bali ni mtu aliye jikita katika mambo hayo.
Siku mkianza kutumia akili zenu mlizopewa bure na msizolipia kodi itakuwa muda ushawatupa mkono.Wewe fala kweli kwani hapo ulipo wewe huna roho...? Zingatia kitu kimoja Mungu anaweza yote kujigeuza mtu akaishi nasi akiwa kama binadamu mwenye
Sasa hapa hoja yako iko wapi kijana ?Kingine jua kuwa Mungu anatufahamu binadamu kwa kila kitu, maana yeye ndiye aliyetuumba. Ni sawa na binadamu anafahamu gari kwa kila kitu maana ndiye aliyeliumba gari illa gari halimfahamu licha ya kwamba analiendesha.
Hii siyo kweli ndiyo maana Mola akawatuma manabii kama Yesu, Musa, na wengine ili watueleze ukweli kuhusu Mola.Binadamu haelewi chochote kuhusu Mungu zaidi ya jina na kuwa ndiye chanzo chake.
Tatizo sio dini ila tatizo huna pesa ungekuwa na pesa zako haya mambo hakuna mtu ambae angekuwa na ubavu wa kuingilia mausiano yakoYeyeakiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakini nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikuwa so so down, hana mzuka kabisa, mie nafosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakini ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristo hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia hivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi huwa kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? Na raia huWa hawasemi au ni nini? Why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku, hakuna kuingiliana?
Usiseme huwa hupendi sema ukianza kusoma biblia majini yako yanakusumbua.Huwa sipendi kutumia maandiko yenu sababu yanaudhalilisha unabii na mitume ila nikianza kutumia kama hivi lazima mtapoteana. Biblia ina mkanganyiko mwingi sana.
Sasa kati ya hayo maandiko yapi sahihi na lili la kuchukuliwa ? Sasa usilete habari za Mutah ambazo hazipo wala sihusiani nazo, na ujibu maswali yangu.
Nasubiri hitimisho kati ya maandiko hayo yapi ya kweli na yapi ya uongo ?
Yani narudia tenaa hujataka kuelewa ila wewe una bishana.. ungenielewa hapo nilipoelezea hizo nafsi za MUNGU MMMOJA ambae wewe unamwita mola sijui ungeelwa hata hayo maandiko yanamaanisha nini ila kwakuwa huelewi mkuu utaemdelea kubisha afu unachokitafuta huwezi kukipata kwa kukaza huko ubongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasalimie waislamu wote duniani[emoji2969]
Huna unalojua wewe nimekuwekea hiyo soma yote hiyo mistari uone ni jinsi gani wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo huyawezi mambo ya kiroho hata kidogo unayaweza ya majini tuSasa napotosha wapi wakati maandiko ni yenu wenyewe,sasa labda mkiri kwamba kuna maandiko ya uongo na ya kweli.
Jamaa atakusumbua , issue kubwa waislamu wanashindwa kuelewa Mungu wa wakristo na Mungu wao ni tofautiWewe fala kweli kwani hapo ulipo wewe huna roho...? Zingatia kitu kimoja Mungu anaweza yote kujigeuza mtu akaishi nasi akiwa kama binadamu mwenye kichwa na mikono si chochote kwake.
Kingine jua kuwa Mungu anatufahamu binadamu kwa kila kitu, maana yeye ndiye aliyetuumba. Ni sawa na binadamu anafahamu gari kwa kila kitu maana ndiye aliyeliumba gari illa gari halimfahamu licha ya kwamba analiendesha.
Binadamu haelewi chochote kuhusu Mungu zaidi ya jina na kuwa ndiye chanzo chake.
Nimeyasoma na umesahau kuweka kwamba ni ya Marko au Matayo au nani ?Huna unalojua wewe nimekuwekea hiyo soma yote hiyo mistari uone ni jinsi gani wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo huyawezi mambo ya kiroho hata kidogo unayaweza ya majini tu
Nakuwekea tena
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sasa si ndiyo hivyo sisi tusio elewa sasa tunawauliza kuhusu maandiko yenu ya kwenye Biblia, ndiyo mjibu sasa maswali siyo mnaruka ruka.Jamaa atakusumbua , issue kubwa waislamu wanashindwa kuelewa Mungu wa wakristo na Mungu wao ni tofauti
Mungu wao ni physical Yani ni kitu kinachoonekana kwa macho ya damu na nyama,
Yupo limited na mambo mengi hawezi kufanya kama kuvaa mwili hawezi
Sasa mbona unapotosha maana au huwa huelewi ndg ujue Sisi ni ndg na tunataka kukusaidia Sisi ni ndugu moja tunakuweka kwenye ukweliNimeyasoma na umesahau kuweka kwamba ni ya Marko au Matayo au nani ?
Nacheka sana, sasa toeni hitimisho juu ya maandiko hayo niliyo yaweka huko juu, ili tujie lipi sahihi, lipi la kuchukua na lipi la uongo la kuacha.Usiseme huwa hupendi sema ukianza kusoma biblia majini yako yanakusumbua.
Acha kuwa mjinga
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sasa nimepotosha maana gani wakati nimeweka maandiko yenu ? Kosoa maandiko yenu kijana.Sasa mbona unapotosha maana au huwa huelewi ndg ujue Sisi ni ndg na tunataka kukusaidia Sisi ni ndugu moja tunakuweka kwenye ukweli
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Ushirikina na ujinga upo kwenye qurani na wewe na wenzako na viongozi wenu hilo mnalijua ndio mnaongoza kwa kufuga majini na kudhuru watu kwa visomo kataa tukuumbueniSasa si ndiyo hivyo sisi tusio elewa sasa tunawauliza kuhusu maandiko yenu ya kwenye Biblia, ndiyo mjibu sasa maswali siyo mnaruka ruka.
Mimi huwa sipendi kutumia maandiko kujengea hoja sababu yana ushirikina mwingi, ujinga, uongo na udhalilishaji kwa waja wema, sasa leo nimeamua kuyatumia sababu naona mnazidi kuwa wajinga.
Hakuna kilichokosewa ni wewe huwezi kuelewa kwa kuwa una uvuvio na majini utaelewaje sasa mambo ya kirohoSasa nimepotosha maana gani wakati nimeweka maandiko yenu ? Kosoa maandiko yenu kijana.
Mimi naweza kukuthibitishia ushirikina wenu toka kwenye Biblia ila wewe huwezi kuthibitisha ushirikina toka kwenye Qur'aan na Sunnah, sababu katika kazi alizotumwa kwazo Mtume ni kuwapiga washirikina kwa hali zao zote bali mitume wote walikuja kwa kazi hiyo.Ushirikina na ujinga upo kwenye qurani na wewe na wenzako na viongozi wenu hilo mnalijua ndio mnaongoza kwa kufuga majini na kudhuru watu kwa visomo kataa tukuumbueni
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app