Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Siku mkianza kutumia akili zenu mlizopewa bure na msizolipia kodi itakuwa muda ushawatupa mkono.

Tunataka maandiko vipi Yesu alijielezea yeye mwenyewe na yasipingane na akili zilizo salama na uhalisia.

Mola yapo mambo mengi amejiharamishia, ikiwepo dhulma na ameepukana na udhaifu wote.

Nini maana ya andiko lenu hili ?

kiumbe tofauti kwake mwenyewe: Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]

Hiyo ingekuwa hoja ya kujibadilisha hivyo basi angefanya hilo kwa nabii Musa, angalia shuruba alizopitia nabii Musa, kwanini asingejibadilisha na kuwa Mungu kule ?

Sasa hapa hoja yako iko wapi kijana ?

Hii siyo kweli ndiyo maana Mola akawatuma manabii kama Yesu, Musa, na wengine ili watueleze ukweli kuhusu Mola.

Siyo kwamba tunamjua jina tu na kuwa yeye ndiyo chanzo, bali vitabu vyote toka kwake kama vile Msahafu wa nabii Ibrahiim, Taurati ya Musa, Zaburi ya Daudi, Injili ya Issa na Qur'aan vyote vimemuelezea Mola kama alivyojielezea ili tumjue tena maelezo mapana, sasa kama mnadanganyana huko makanisani ukweli ni huu.

Huyo Mussa mwenyewe alitabiri kufa kwa YESU na kufufuka kwake yaani wewe mbona unaelewa ila unajikazaa

Yaani unataka kuonekana ushindwii na kumbe umeumbuka pole sana
 
Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.

Kabla ya kusema ibrahim alikua dini gani naomba niambie
Ukristo umeanza mwaka gani
Uislamu umeanza mwaka gani

Ila tambua kwamba Ibrahim aliishi kabla ya Ukristo wala Uislamu haujaingia duniani
 
Sasa si ndiyo hivyo sisi tusio elewa sasa tunawauliza kuhusu maandiko yenu ya kwenye Biblia, ndiyo mjibu sasa maswali siyo mnaruka ruka.

Mimi huwa sipendi kutumia maandiko kujengea hoja sababu yana ushirikina mwingi, ujinga, uongo na udhalilishaji kwa waja wema, sasa leo nimeamua kuyatumia sababu naona mnazidi kuwa wajinga.

Sio ushirikina hizo ni nguvu za ROHO MTAKATIFU HUWEZI KUISOMA BIBLIA KIRAHISI HIVYO LAZIMA UPIGWE UPOFU

UNAFIKIRI BIBLIA NI KAMA KITABU CHENU KINACHOTUMIKA KUUA WATU NA KUWAPA MAJINI WATU

BIBLIA NI UVUVIO WA ROHO MTAKATIFU BIBLIA NI MOTO MOTO NI UPANGA UKATAO HUKU NA HUKU UKIWA NA MAPEPO KAMA YAKO HUWEZI KUPATA UJASIRI WA KUISOMA NA KAMA UTAISOMA LAZIMA UCHANGANYIKIWE MAANA YALE MAANDIKO YAKO NA NGUVU ZA MUNGU HALISI NA NDIO MAANA KILA KILICHOANDIKWA NDANI YA BIBLIA KINATIMIA NA LAZIMA KITIMIE
 
Tuwekee mpaka hiyo 21 ili unafiki wangu uonekane.

Haya mpaka 21 hii hapa :

15Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Kristo kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi. 16Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka. 17Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu. 18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea. 19Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.

20Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala. 21Kwa maana kama vile mauti ilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja.

Unafiki wangu uko wapi ?

Weka andiko lote acha kuweka nusu nusu

Huna hata aibu hebu soma vizuri unafikiri hapa upo kwenye muhadhara mnapodanganyaga watu
 
Nimekuuliza swali unatakiwa ujibu swali, usiruke ruke. Hivi ndivyo nilivyo mimi.

Sasa ulivyosema wakk tofauti maana yake hujui historia ya nabii Issa ? Inaonekana unajua historia ndiyo maana ukahitimisha hivyo, sasa napo kuuliza swali ujue najua kwamba wewe unamjua nabii Issa, sasa ili nikubane vizuri nakuuliza maswali ya msingi.

Sasa nakupaje historia yake na wewe unadai hawafanani ? Maana yake unawajua vizuri. Ndiyo maana naenda kea mtindo wa mswali. Sasa kama huwajui unatakiwa useme mapema usije ukakimbia kivuli chako.

Sasa ndiyo ujibu maswali ya msingi ninayo kuuliza. Wala huyo Yesu Kristo mpaka anakufa hajaacha huo UKRISTO. Yesu Kristo mnamuita nyinyi wapotoshaji wa mfandisho ya nabii Issa.

Hakuna anaye sema zinafungamana ndiyo maana huko juu kuna mtu nilimkosoa pale aliposema "Abrahamic" sijui nini, sababu Ukristo na Uyahudi ni mazao ya uzushi wa wanadamu na si toka kwa Mola. Ila unapomzungumzia Yesu ambaye ni nabii Issa hapa ndiyo nakuweka sawa.

Wewe kumbe ni mwanamke ? Ndiyo maana mjadala umekuwa mgumu kwako huweki hoja wala ithibati, unalalama.

Ww mwenyewe hauna point huwezi lazimisha niamini kuwa Yesu ni nabii Issa wakat kitabu ninachokiamini mm hakijui chochote kuhusu huyo nabii Issa wenu

Kama unaona ukristo ni uzushi ww inakuhusu nn wakati tunao amini ni sisi

Ww unaamini vilivyo andikwa kwenye Quran nje ya hapo huamjni chochote ndio na wakristo tulivyo tunaamini kwenye Biblia

Huyo nabii Issa mnamfahamu nyie sababu kaandikwa kwenye Quran ambayo mm siijui
 
Yaani mtu anaelekezwa Mungu ANA NAFSI TATU MUNGU BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU
NA TUMEMUONYESHA MUNGU MWANA NI YESU
HALAFU ANAKUJA NA HILO ANDIKO LA YOHANA 20:17
USICHOELEWA NINI SASA HAPO SI ANAENDA KWA BABA YAKE YAANI MUNGU BABA

TOA UBISHI WA KIJINGA

Unapoteza nguvu buree jamaa anakaza ubongo ko hawezi kuelewa hataa iwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe naona una matatizo binafsi, toka peji ya pili kazi yako ni kushambulia tu wakristo mkuu nini tatizo? hauwezi kuchangia kiwepesi bila kutukana kama ivi?

wewe ni gaidi au? kwanini unatumia maneno makali kuishambulia dini ya watu wengine pasipo ulazima wa wewe kufanya ivyo? Kuuchukia kwako ukristo kunabadilisha nini sasa katika hii dunia?

Stay on ur lane, hauna haja ya kutumia nguvu kubwa kama hivi kuwashambulia watu wadini tofauti na yako.

Kweli, Hawa wafia dini wana matatizo sana
Ila anachotakiwa kujua hata anachofundisha hapa hakuna mtu anamuelewa
 
Shetani mwenyewe anajua kama YESU NI MUNGU

sijajua wewe ni nani usiemtambua

Maana kuzimu yatetemeka likitajwa jina la YESU mapepo yanapagawa likitajwa jina la YESU vipofu wanaona viziwi wasikia mabubu wanasema jina YESU ni jina tulilopewa wanadamu kwa kina lake kuna watu humu watapokea uzima wa milele

Naam YESU alikuwepo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu na kila goti litapigwa na ulimi utakili kwamba YESU ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu
Hiyo kuzimu uliona ilivyotetemeka jina lake lilivyotajwa ? Hata waganga pia wanatoa mapepo .. umesema shetani anajua yesu ni Mungu ni andiko gani shetani amethibitisha hivyo sana sana alimjaribu tu kupima imani yake . Imani yake kwa nani na yeye ni Mungu [emoji1787]

Kibaya zaidi nyie wenyewe wakristo kuna madhehebu mnapingana kuhusu uhalali wa yesu kuwa Mungu

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na
Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi
vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na
kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa
Mungu? 4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
(Mathayo 1:1)
PicsArt_05-05-09.01.08.jpg
 
Tuwekee mpaka hiyo 21 ili unafiki wangu uonekane.

Haya mpaka 21 hii hapa :

15Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Kristo kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi. 16Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Kristo hajafufuka. 17Tena kama Kristo hajafufuliwa, imani yenu ni batili; nanyi bado mko katika dhambi zenu. 18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea. 19Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.

20Lakini kweli Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, tunda la kwanza la wale wote waliolala. 21Kwa maana kama vile mauti ilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja.

Unafiki wangu uko wapi ?
Biblia ni tamu Sana ukisoma,
Koran mstari na mstari haviendani jamaa alikuwa kila akiamka anaweka verse tena haiendani na verse iliyopita , mtaani wakimzingua anaweka Verse ya kuwachamba, wake zake wame mfumania anakula house girl anaweka verse ya kumruhusu kula house girl, akatamani Mke wa mtoto wake anaweka verse ya kumruhusu kuchukua mke wa mtoto wake , full demonic
 
Yaani mtu anaelekezwa Mungu ANA NAFSI TATU MUNGU BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU
NA TUMEMUONYESHA MUNGU MWANA NI YESU
HALAFU ANAKUJA NA HILO ANDIKO LA YOHANA 20:17
USICHOELEWA NINI SASA HAPO SI ANAENDA KWA BABA YAKE YAANI MUNGU BABA

TOA UBISHI WA KIJINGA
Mungu ana nafasi tatu so Mungu wako watatu sio Mmoja sio ? [emoji1787] So Mungu mwana ni yesu na Mungu baba ni yupi ? Huyo baba ake Yule aliyekuumba wewe ni yupi ?

Ni yesu ndio amekuumba wewe ?
 
Hiyo kuzimu uliona ilivyotetemeka jina lake lilivyotajwa ? Hata waganga pia wanatoa mapepo .. umesema shetani anajua yesu ni Mungu ni andiko gani shetani amethibitisha hivyo sana sana alimjaribu tu kupima imani yake . Imani yake kwa nani na yeye ni Mungu [emoji1787]

Kibaya zaidi nyie wenyewe wakristo kuna madhehebu mnapingana kuhusu uhalali wa yesu kuwa Mungu

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na
Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi
vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na
kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa
Mungu? 4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
(Mathayo 1:1)View attachment 2212127
Mkristo Imani yake Yesu ni Mungu kinyume Cha hapo sio mkristo

Huwa nawapa angalizo Sana unapokuja kwenye kuhoji mambo ya Yesu Jua hili kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit.

Ukihoji na kuwa na nature ya mungu wako kichwani hutaelewa kamwe
 
Mungu ana nafasi tatu so Mungu wako watatu sio Mmoja sio ? [emoji1787] So Mungu mwana ni yesu na Mungu baba ni yupi ? Huyo baba ake Yule aliyekuumba wewe ni yupi ?

Ni yesu ndio amekuumba wewe ?
Anza kuelewa hapa kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit

Ukisha elewa ndio uliza swali
 
Anza kuelewa hapa kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit

Ukisha elewa ndio uliza swali
Sprit a supernatural being or an essance

Sprit often malevolent being that is bodiless but can become visible

Being not beings [emoji3]

Kuhusu hapo juu Allah sio physical being Kulingana na theolojia ya Kiislamu, Mungu hana mwili wala jinsia I'm sorry to say this hafananishwi na kitu chochote sasa sielewi umesemaje ni physical being
 
Mkristo Imani yake Yesu ni Mungu kinyume Cha hapo sio mkristo

Huwa nawapa angalizo Sana unapokuja kwenye kuhoji mambo ya Yesu Jua hili kwanza

Allah = physical being creature
Jehovah = Spirit.

Ukihoji na kuwa na nature ya mungu wako kichwani hutaelewa kamwe
Umesema Mkiristo imani yake Yesu ni Mungu kwahyo huyu yesu ndio kawaumba ? sasa huyu Yesu ametumwa na baba ake kwahyo huyo baba ake ni Mungu ? Kama ni ndio ina maana kuna Mungu zaidi ya mmoja si ndio

Ukinitajia mambo ya nafsi tatu hapo ni watu watatu
 
Sprit a supernatural being or an essance

Sprit often malevolent being that is bodiless but can become visible

Being not beings [emoji3]

Kuhusu hapo juu Allah sio physical being Kulingana na theolojia ya Kiislamu, Mungu hana mwili wala jinsia I'm sorry to say this hafananishwi na kitu chochote sasa sielewi umesemaje ni physical being
Allah nature yake ni physical being , kulingana na waislamu nguli wanasema Allah ana mguu ,mikono , USO, vidole n.k na waislamu wanasema pia mguu wake na umbo lake halifanani na kitu chochote

Allah pia anakazia anasema akitaka mke anachukua Malaika au hori ndio ujue ni mwanaume na Koran yote Allah anajiita he na sio she
 
Umesema Mkiristo imani yake Yesu ni Mungu kwahyo huyu yesu ndio kawaumba ? sasa huyu Yesu ametumwa na baba ake kwahyo huyo baba ake ni Mungu ? Kama ni ndio ina maana kuna Mungu zaidi ya mmoja si ndio

Ukinitajia mambo ya nafsi tatu hapo ni watu watatu
Kama umeshaelewa utofauti wa Allah na Jehovah hapo sawa

Shida gani unapata Mungu akikwambia ata yupo mara 1000 ?
Unataka kumpangia kuwa unavyotaka wewe au?
 
Dah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hivi kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.

Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi wana mahaba ukilinganisha na wakristo, wakristo wanakwama wapi"? Kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu, kuna jambo la kujifunza kwao.
Mbona Ni suala la kucheza na timing tu!! Mimi waliteta hizo Mambo nkampanga binti akapangika!! Nkavaa kanzu na jina nkapewa ndoa ikafungwa !! Tumezaa mtoto mmoja nkamwmbia twende kanisani haya Ni maisha yetu na Motoni au peponi utaenda mwenyewe !!
 
Allah nature yake ni physical being , kulingana na waislamu nguli wanasema Allah ana mguu ,mikono , USO, vidole n.k na waislamu wanasema pia mguu wake na umbo lake halifanani na kitu chochote

Allah pia anakazia anasema akitaka mke anachukua Malaika au hori ndio ujue ni mwanaume na Koran yote Allah anajiita he na sio she
Dooh umesikia kwa muislamu gani ? maana kuna sura ktk Quran inaeleza Allah hafananishwi na chochote sasa unavyoniambia miguu mikono nashangaa sana na hayo mambo ya mke pia utakuwa Umesikia nilidhani umesoma mahali kwenye vitabu vyetu
 
Kama umeshaelewa utofauti wa Allah na Jehovah hapo sawa

Shida gani unapata Mungu akikwambia ata yupo mara 1000 ?
Unataka kumpangia kuwa unavyotaka wewe au?
Utafauti niliouona ni kwamba mnasema Mungu wenu ana nafsi tatu kwa maana wapo watatu

Mimi simpangii Mungu wako wangapi ila kwa imani yangu Mungu ni mmoja na wala hana mshirika
 
Utafauti niliouona ni kwamba mnasema Mungu wenu ana nafsi tatu kwa maana wapo watatu

Mimi simpangii Mungu wako wangapi ila kwa imani yangu Mungu ni mmoja na wala hana mshirika
Ndo hivyo wewe una Allah na hafanani na Jehovah ,
Mungu ni mmoja tu nafsi zake tatu zisikupe shida zote ni divine ,

Mungu wako Allah kuwa physical kunamfanya mambo mengi aone hayawezekani
 
Back
Top Bottom