Hiyo kuzimu uliona ilivyotetemeka jina lake lilivyotajwa ? Hata waganga pia wanatoa mapepo .. umesema shetani anajua yesu ni Mungu ni andiko gani shetani amethibitisha hivyo sana sana alimjaribu tu kupima imani yake . Imani yake kwa nani na yeye ni Mungu [emoji1787]
Kibaya zaidi nyie wenyewe wakristo kuna madhehebu mnapingana kuhusu uhalali wa yesu kuwa Mungu
Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na
Matendo 7:56.
Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi
vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na
kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa
Mungu? 4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
(Mathayo 1:1)
View attachment 2212127