Huwa inatokea umeshapenda huna jinsiKuna watu ni wadini kwa majina tu na hawazifuatilii izo dini, lakin pia mapenzi kama uyoga tu unaota popote na mtu anakua anaona dini ni minor kwa wakati ule.
Wazazi wanaweza kua wa dini moja ila watoto wakabadili dini na kua wa dini nyingine pia.
Weeehhh!! Sasa si ubadili dini tu kaka, Wote tunamwabudu Mwenyezi Mungu na kikubwa amani ya moyoDah! Upo kama me nina binti wa kislamu me ni mkristo huyu mwanamke ni mzuri ile mbaya ananipa mahaba haswa ukirudi home anivua shati, viatu sometimes nalishwa sema sasa hiv kasafiri kikazi nimemmiss ila alinipa tahadhari kuwa Wazazi wake hawapendi yeye aje aolewe na mkristo ingawa bado sijajitambulisha kwao kujulikana.Mzee baba niliwahi kuleta mada hapa "Wanawake wa waislamu wengi Wana mahaba ukilinganisha na wakristo wakristo wanakwama wapi"? kuna baadhi wakanipinga especially wanawake wa kikristo lakini uhalisia tunauona sisi Wanaume kiukweli wanawake wakislamu wanajua mahaba na wajua kumtreat mwanaume vizuri kwenye Hili lazima tuwape sifa yao na mademu wakikristo wasione wivu kuna jambo la kujifunza kwao
We umeona kuna alama ya kuuliza?Umeulizwa?!
Kama unampenda badili wewe dini.yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Ebu Nuzulati anzisha uzi wake please na ukumbuke kunitag itakuwa jambo zuri sanaDah unenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home😬
Kubadili dini iko nikipengele kigumu sanaWeeehhh!! Sasa si ubadili dini tu kaka, Wote tunamwabudu Mwenyezi Mungu na kikubwa amani ya moyo
Ukitaka kuharibu jamii basi ruhusu mahusiano ya kimapenzi baina ya imani mbili tofauti.yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo;
Alikua pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia bint mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikua na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika.
Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na kuwaambia ndugu na jamaa kwamba kuna sehemu nimenasa na sasa nabeba jiko jumla hapo sasa ndio vita vikazuka, mwanzo nikaona ni mambo ya kawaida "jamaa wanaingilia maisha ya watu tena, hawa hawanijui hawa?" Lakin nikashangaa wazazi wote pande mbili wanapinga, wajomba wameshika mabango kwamba watu wa dini ile nyingine hakuna kabisa hawafai, nikasema eeh maji mazito kuliko damu ya mtume?
Binti alikua so so down, hana mzuka kabisa, mie na fosi bibie tulia wala usiwe na hofu dini tumeletewa na mabeberu tu, lakin ikamshinda nguvu maskini binti wa watu analia, maza ake nae kaja juu anasema kijana mkristow hakanyagi hapa kwangu, huba likakosa connection kabisa kimzaa mzaa tu, tukawa tunakulana tu na binti akawa anasema haoni future sa itakuaje? Nikamwambia basi tuzae tu wataelewa, akasisitiza mtume alishapinga kuzaa nje ya ndoa, basi ikaishia ivyo tu na sasa binti yupo na shekhe wake msoma visomo.
Hivi hua kuna bifu la chini chini kati ya hizi dini mbili? na raia hua hawasemi au ni nini? why wakule ni wakule na wa huku ni wa huku hakuna kuingiliana?
Mimi nakupa kazi moja tu ukithibitisha ya kuwa Yesu siyo Nabii Issa mimi nakuwa Mkristo.Bifu lililopo ni la kiroho zaidi. Hizi ni falme mbili tofauti. Yehova siyo Allah na Yesu siyo nabii Issa kama mnavyoaminishwaga.
Nimechoka sana leo ningekufafanulieni kwa kina
Sasa bibie ilikuwaje ukawa na mahusiano na mtu wa imani tofauti na yako ? Au ndiyo huwa mnasema Mapenzi ni upofu ?Dah umenikumbusha kaka yangu alipomfata ex wangu eti niachane nae kisa ni dini tofauti tena alimfata na panga hiki kisa natamani niazishie uzi yale mahusiano nilipigwa mikanda sana home😬
Hata sijui, nilijikuta tu nimezama kwenye huba.Sasa bibie ilikuwaje ukawa na mahusiano na mtu wa imani tofauti na yako ? Au ndiyo huwa mnasema Mapenzi ni upofu ?
Watoto zetu wa kike mna ujinga mwingi sana huwa mnaona hakuna maisha baada ya huba. Allah awasitiri na awape msimamo thabiti, kuna sehemu ulikosea bibie.Ata sijui nilijikuta tu nimezama kwenye huba
Hiyo siyo kweli hili jina wanalitumia kimakosa. Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu, Uyahudi na Ukristo ni Dini zilizo kuja kuzuliwa, ukiziangalia zote zimewakana mitume walio fata baadae.Lakini zote zinatambulika kama Ibrahimism, zina vinasaba vya pamoja na ndio maana mitume karibu wote wanatajwa na vitabu vya dini hizi mbili kwa pamoja na matendo yale yale.
Ndiyo ujue sasa kuna sehemu ulikosea.Ata sijui nilijikuta tu nimezama kwenye huba
Umeandika vya maana sana, ndiyo maana nasema watu wanajiendekeza na kuzembea.Hapa ndipo vijana wengi tunapokwama.
Unajua fika wewe ni dini tofauti na mpenzi wako. Unajua fika ukifosi kuna sehem pande zote mbili kwa wazazi na ndugu mtatengwa. Tena hata mkifosi mkaoana kuna uwezekano watoto wakakosa direction na kujua wafate mafundisho ya dini gani maana wazazi mpo dini tofauti. Mmoja anasali msikitini mwngne kanisani. Wapo mtakaosema ikitokea tumezaa mtoto akikua ataamua afate dini ipi! Jamani mafunzo mazuri ya dini siku zote huanzia utotoni, hapo ndipo mtoto anapopata good narration to see the right and wrong.
Hali hii itazidi kuwatafuna kadri vizazi vyenu vitakavyoendelea na hakutakua na amani ndani. Trust me hakutakua na amani. Najua wapo watakaonipinga na kusema mapenzi hayaangalii dini. Ni kweli mapenzi hayaangalii dini, lakini kuishi na mtu kama mke na mume dini lazima ipewe kipaumbele chake. Tena ni kigezo muhimu sana hiko wala tusidanganyane.
Tusitake kuishi kizungu wakati bado tamaduni zetu hazijafika huko. Na sidhani kama tutafika huko maana kila dini ina mafundisho yake na tunarithishana vizazi na vizazi. Kuepuka usumbufu wowote ule na mpasuko ktk familia ni bora uwe na mahusiano na mtu wa dini yako. Itakuweka huru sana.
Ifike hatua tusiishi kwa kuendeshwa na hisia bali akili. I REST MY CASE.
Ukiambiwa ukweli uwe unakubali, sababu kukataa kwako hakubadilishi chochote.Umeulizwa?!
kila kitu ni mipango ya Mungu upendo sioni na siwezi kuushika ila nahisi upo kama imetokea nimependa sehemu nawezaje kujizuia maana kwa hakika hakitokei kitu bila Allah kubariki basi asingenipa upendo kwa Mwanaume dini tofauti hata hivyo tuliachanaWatoto zetu wa kike mna ujinga mwingi sana huwa mnaona hakuna maisha baada ya huba . Allah awasitiri na awape msimamo thabiti, kuna sehemu ulikosea bibie.