Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

Kabisa.
Nimeona video ya mahojiano ya dogo fulani eti anasoma udaktari Kampala universitu anadai kapigwa kama mls 5 na anadaiwa na maprofesa wake watatu nao aliwashawishu wakajiunga na wanafunzi kibao. Anadai kuna hadi wanasiasa na viongozi wa serikali wakubwa walikuwa wanakutana pale.
Anasema sasa hivi anaishi kama digidigi kwakuwa ameingiza wanafunzi wengi na alikuwa kila akiwafanyoa seminar pale chuoni kalynda wanamrushia tshs200000
Hapo pagumu
 
Back
Top Bottom