APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
-
- #21
Kitu kilichowaangusha ni imani,waafrica ni watunwenye imani sanaKweli maana kama Maprofesa na Madoctor wanaibiwa sasa itakuwa ajabu sana kwa mimi nisiyekwenda shule kuacha kuibiwa
Binfsi nimesikitika sana kuona mpaka wasomi wakubwa wanaibiwa kijinga sana
Mkuu naona na wewe, unataka kupiga za kwako eeehHahahaa ongeeni na watu vizuri klynda ipo live kwa link mpya mpka ulipie elfu 30
Hapo pagumuKabisa.
Nimeona video ya mahojiano ya dogo fulani eti anasoma udaktari Kampala universitu anadai kapigwa kama mls 5 na anadaiwa na maprofesa wake watatu nao aliwashawishu wakajiunga na wanafunzi kibao. Anadai kuna hadi wanasiasa na viongozi wa serikali wakubwa walikuwa wanakutana pale.
Anasema sasa hivi anaishi kama digidigi kwakuwa ameingiza wanafunzi wengi na alikuwa kila akiwafanyoa seminar pale chuoni kalynda wanamrushia tshs200000
Mtampiga nyaniMkuu naona na wewe, unataka kupiga za kwako eeeh
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Wengine wananyota ya kupingwa.Mwenyewe kuna mtu alikuwa ananishawishi sana kujiunga daily ananitumia Link za kujiunga halafu hakomi hii mara ya tatu anagwa na makampuni ya dizain hyo na ni msomi na masters yake kufanya biashara hataki anataka Hela za kudownload
MUNGU daima yupogo na miniBora ulivyo ponyoka huo mtego....
Maprofessor kabisa wa vyuo na PhD holdersHalafu ukutwe waliopigwa kwenye hiyo kalynda ni wasomi wenye digrii zao vichwani wengine mastaz, wamekariri madesa tu
Bado kuna mbuuzi watanasana na hapaa 😁😁Mkuu naona na wewe, unataka kupiga za kwako eeeh
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Million 7Huyo antie wako kapigwa?
😥😥😥Million 7
Ni majanga kabisa sijui kama mwenye mastazi anatapeliwa darasa la Saba B ataponea wapiHili lipo wazi mkuu, wanaugulia maumivu kimya kimya
Mpaka maprof wanapenda mselelekoMbon kuna clip mwanachuo wa UDSM anasema aliwapeleka maprofesa na madoctor wake inasikitisha sana
Makanisa na misikiti hayana tofauti na makamari ya kichina, chota mihela, kalynda n.kNdo maana sasa hivi mtaani makamari ya kichina yamejaa kuliko kanisa na msikiti,
Kwwny mtego mujarabuBado kuna mbuuzi watanasana na hapaa 😁😁
La saba B wao kunusurika ni rahisi sana kuliko wasomi wetu maana wasomi wetu wanakuwa hawana akili ya maisha ya mitaaniNi majanga kabisa sijui kama mwenye mastazi anatapeliwa darasa la Saba B ataponea wapi
Leo padre kamlawiti mtoto wake wa miaka 6Makanisa na misikiti hayana tofauti na makamari ya kichina, chota mihela, kalynda n.k
Padre haruhusiwi kuoa au kuzaa, bali kuuishi useja.huyo mtoto kampatia wapi ?Leo padre kamlawiti mtoto wake wa miaka 6