Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake


View: https://www.youtube.com/watch?v=TNHN7p1KpXU
 
Aliyemchafua lowassa ni mwakyembe,JK na Nape
 
Kwani waliosema mnapeleka maiti Ikulu ni akina nani ????????
Kosa moja halihalalishi lingine mkuu. Wote wamemchafua na kumfedhehesha nchi nzima kwa kumtwisha zigo la ufisadi ambao hakuufanya.

Sasa hapa wale walioanzisha uchafuzi huo ndo wanatakiwa waanze kumuomba msamaha, alafu wengine nao wafuate.
 
Mtu wa kwanza kuiomba msamaha familia ya Lowassa anatakiwa awe Nape na Makonda,
 
Unajuaje kama hawakuombana msamaha kabla ya kumkaribisha Chadema...

Maana hizo kauli ulizoziweka ilikuwa kabla ya Mzee Lowassa kujiunga na UKAWA/Chadema...

 
2015 mwamba alipasuka vibaya sana hela aliyotumia aisee we acha tu najua watu wake wa karibu waliumia sana.
 
Mr dudumizi inaonekana una dudu matakwoni limekung'ang'ania.
Naona Joyce mukya unawashwa washwa sana uvunguni. Kila anapotajwa Mboe wewe unakimbilia kuumia kuliko mkewe wa ndoa.
 
Lowasa fisadi mbinguni na duniani
Waliomchafua kwa ajili ya njaa zao, wameshamsafisha na kusema wazi kuwa Lowasa sio fisadi, sasa wewe huo ufisadi wake umeutoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…