Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.
Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua.
Ccm kamachama Doka kina Instruments zingi za kutenda kazi. Tulitarajia kuona Chama kikiagiza serikali kupeleka Helkopita kadhaaa na Matank kadhaa( Vifaru) visivyozuiwa na matope kwenda Eneo la tukio.
Badala yake imekuwa kinyume.
Je kwani Mwenezi anaeneza nini? Au jina tu.
Uwezo wa Paul Makonda alio nao anaweza kuleta nafuu sana kwa wahanga. Tunaomba alitazame na hili.