Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

Yaani aache kwenda kutoa msaada kwa kuogopa nongwa?

Utakuwa hujui ulichosema. Kimekutoka tu bila kufikiria

Msaada gani ataenda kuutoa? Watu wako kwenye majanga unataka kupeleka siasa for what?

And amtolee nani maelekezo wakati rais wa nchi kishatoa maelekezo?
 
Wagangaaa wanatakaa misaada Kwa ss na c makondaa .

CCM punguzen siasa Kwenye vtu muhmu..
 
Anatuhumiwa na U.S.A kwa kuua waandishi wa habari na viongozi wa upinzani Ben Saanane msaidizi wa Mbowe pamoja na kutaka kumuua Tundu Lissu.
 
Huyo sio mpenda watu ndio maana Marekani ilimpiga marufuku kukanyaga kule kwa kosa la kunyima watu haki ya kuishi
 
Atakuwa anatafuta mtumbwi wa kupanda wakati anakwenda. Bado hajapata tuwe na subira ataenda tu.
 
Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.

Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua.

Ccm kamachama Doka kina Instruments zingi za kutenda kazi. Tulitarajia kuona Chama kikiagiza serikali kupeleka Helkopita kadhaaa na Matank kadhaa( Vifaru) visivyozuiwa na matope kwenda Eneo la tukio.

Badala yake imekuwa kinyume.

Je kwani Mwenezi anaeneza nini? Au jina tu.

Uwezo wa Paul Makonda alio nao anaweza kuleta nafuu sana kwa wahanga. Tunaomba alitazame na hili.
Mwenyekiti ndiye alitakiwa asubuhi ile ile awe ameshafika, ona sasa anakula bata umangani! Mkiambiwa mnakuwa wabishi.
 
Kule kuna matope hawezi kwenda atakwama, siunajua tena mwenezi kajaaliwa ana vuta semi!.
 
Back
Top Bottom