Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Yaani aache kwenda kutoa msaada kwa kuogopa nongwa?Angeenda ingekuwa nongwa, hajaenda pia nongwa. Binadamu hata Yesu alishindwa kujua mnataka nini, haha
Ameamua atulie zake Kwa mshua ale maisha tuu,,licha ya Wema wote walimwengu wakamlipa Kwa kumpigilia misumari na kumtundika msalabani hata ningekuwa Mimi nisingerudi,,wanadamu hawana wema mafii yaoAngeenda ingekuwa nongwa, hajaenda pia nongwa. Binadamu hata Yesu alishindwa kujua mnataka nini, haha
Kumbe ilikuwa project ya makanisa yote?Kwani amemamliza kuombewa na madhehebu yote?
Si kapewa shavu la Uenezi?Ameamua atulie zake Kwa mshua ale maisha tuu,,licha ya Wema wote walimwengu wakamlipa Kwa kumpigilia misumari na kumtundika msalabani hata ningekuwa Mimi nisingerudi,,wanadamu hawana wema mfii yao
Unamimba ya MAKONDA?, [emoji6]Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.
Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua.
Ccm kamachama Doka kina Instruments zingi za kutenda kazi. Tulitarajia kuona Chama kikiagiza serikali kupeleka Helkopita kadhaaa na Matank kadhaa( Vifaru) visivyozuiwa na matope kwenda Eneo la tukio.
Badala yake imekuwa kinyume.
Je kwani Mwenezi anaeneza nini? Au jina tu.
Uwezo wa Paul Makonda alio nao anaweza kuleta nafuu sana kwa wahanga. Tunaomba alitazame na hili.
Kwa mawaziri na ma RCsMaelekezo kwa nani sasa atoe
Kwa matazamo wangu niliona kama ni ka mradi ka muda mrefu kidogo hadi amalizane na maombi sio leoKumbe ilikuwa project ya makanisa yote?
Hahahaaa.......usimchukulie poa ni Kiongozi MkubwaUnamimba ya MAKONDA?, [emoji6]
Kwamba maagizo waliyopewa na Rais hayatoshi?Kwa mawaziri na ma RCs
Labda anawapima watendaji wa serikali ndio maana kabana anawatazama.Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.
Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua.
Ccm kamachama Doka kina Instruments zingi za kutenda kazi. Tulitarajia kuona Chama kikiagiza serikali kupeleka Helkopita kadhaaa na Matank kadhaa( Vifaru) visivyozuiwa na matope kwenda Eneo la tukio.
Badala yake imekuwa kinyume.
Je kwani Mwenezi anaeneza nini? Au jina tu.
Uwezo wa Paul Makonda alio nao anaweza kuleta nafuu sana kwa wahanga. Tunaomba alitazame na hili.
Bado ya Chama kama ChamaKwamba maagizo waliyopewa na Rais hayatoshi?
SahihiAlienda Makamu Mzee Kinana. Yeye pengine atawenda na Mwenyekiti. Makonda take your time,watu hawahitaji maneno maneno ukienda uende na kishindo cha misaada na maelekezo kwa watendaji ambao wameshindwa kutimiza wajibu wao kwenye maafa hayo.
Kwani siku hizi anao uwezo wa kujaza mtu? Au China wameweza!Unamimba ya MAKONDA?, [emoji6]
KaZi sana AfricaTz tunaishi kwa kudra ila huenda mtu anahujumiwa.... Haiwezekani akifa kiongozi jeshini zinatumika hadi helikopta. Tulia nae akapelekwa na helikopta nape alizunguka na helikopta kwa mambo ambayo yamekufa hayaeleweki lakini kusema ziende chopa hata 3 kwenye janga inakua ngumu naamini kuna namna watu wanashindwa kutoa maamuzi ili fulani aonekane hama maana kwa wananchi ila nisimalize maneno muda utatoa majibu