Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yaani aache kwenda kutoa msaada kwa kuogopa nongwa?
Utakuwa hujui ulichosema. Kimekutoka tu bila kufikiria
Mpelekee mama yako ukamprove wrongKwani siku hizi anao uwezo wa kujaza mtu? Au China wameweza!
Msitukumbushe ya zamani jamani! Uanaume sio porojo za majukwaani
Hilo liko wazi!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unasema?Wagangaaa wanatakaa misaada Kwa ss na c makondaa .
CCM punguzen siasa Kwenye vtu muhmu.
HahahaaaMpelekee mama yako ukamprove wrong
Una ushahid?Huyo sio mpenda watu ndio maana Marekani ilimpiga marufuku kukanyaga kule kwa kosa la kunyima watu haki ya kuishi
Kamuulize mamakoUna ushahid?
Duuuh sasa matusi ya nini?Kamuulize mamako
Mwenyekiti ndiye alitakiwa asubuhi ile ile awe ameshafika, ona sasa anakula bata umangani! Mkiambiwa mnakuwa wabishi.Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.
Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua.
Ccm kamachama Doka kina Instruments zingi za kutenda kazi. Tulitarajia kuona Chama kikiagiza serikali kupeleka Helkopita kadhaaa na Matank kadhaa( Vifaru) visivyozuiwa na matope kwenda Eneo la tukio.
Badala yake imekuwa kinyume.
Je kwani Mwenezi anaeneza nini? Au jina tu.
Uwezo wa Paul Makonda alio nao anaweza kuleta nafuu sana kwa wahanga. Tunaomba alitazame na hili.