gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Mbona unajichanganya au haujielewi? Hivi umeishia darasa la ngapi au la pili b? Umesema ameenda kutoa sapoti that means reyvanny ndio alitakiwa aperfom kwa aslimia so chini ya75% kwanini mond ndio aperfom kuliko mwenye show?Rayvanny ameshakuwa mkubwa pale mond ameenda kutoa sapoti tu kwa rayvanny Kama alivyofanya kwenye show ya harmo harmo night