#COVID19 Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

CCM wananifurahisha sana, wamebanaaaa wameachia! Mdebwedo, ndembendembe, kifo cha mende, chaliiiiii.

Mliwahi kuwatukana USA sijui mabeberu sijui wanataka muwe mashoga, kelele zoote sasa mmenogewa mnataka mjengewe na Kiwanda? CCM hamueleweki
 

Leo MABEBERU wamekuwa wa maana.
 
Mwanzo mlisema wanawapiga vita vya kiuchumi waliposhauri juu ya kuchukua tahadhari za COVID19 ikiwemo kuvaa barako ana chanjo, mwenzako mayala kaja na post yake anawaita mabeberu, wewe unataka wakujengee kiwanda cha chanjo.Hivi CCM huwa hamshirikishi akili zenu kabla ya kuandika/kutamka jambo?
 
Hawa watu kwa ujinga uliowajaa wanatuona kuwa Watanzania wote ni wajinga kama wao.

Inakuingia vipi akilini nchi inayo import hata painkillers iweze kutengeneza chanjo?

Kweli ujinga ndio mtaji wa hawa wehu.
Mbona mnapumulia kwa nyuma bila break?
Kwa ujinga wenu na urofa hamtajiamini kamwe,
Yaani uone fahali ya chanjo milioni moja kwa watu milioni 60 kisha upuuze wazo la kujitegemea kwa kutengeneza hiyo chanjo?

Mtoa wazo kasema kama wanataka kutusaidia walete kiwanda cha kutengeneza chanjo, sasa nyie bata manaanza kuaharisha bila break.

Kama mnataka akili zenu zibaki kulelewa basi nendeni mkatafute sehemu inaitwa sodoma na gomora.
 
Unajuaje kama wanataka kutuuzia baadae?
Unawaza kama umefungiwa kwenye kibuyu?
 
Acha ujijnga, yaani kuomba msaada wa kujengewa kiwanda ni Wazo? Pumbavu kweli wewe
 
Hapo anayeililia hiyo nchi ni yupi?Aliyepewa msaada wa chakula na bado hata hajala anataka aolewe kabisa au anayemshauri ajitegemee?😝😝😝😝
 
Wanajitoa ufahamu.
Ni heri tungefuta hivi vyuo vya kata aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…