Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mzee si mlishasema kuwa nyie ni "dona kantre"?Mbona mnapumulia kwa nyuma bila break?
Kwa ujinga wenu na urofa hamtajiamini kamwe,
Yaani uone fahali ya chanjo milioni moja kwa watu milioni 60 kisha upuuze wazo la kujitegemea kwa kutengeneza hiyo chanjo?
Mtoa wazo kasema kama wanataka kutusaidia walete kiwanda cha kutengeneza chanjo, sasa nyie bata manaanza kuaharisha bila break.
Kama mnataka akili zenu zibaki kulelewa basi nendeni mkatafute sehemu inaitwa sodoma na gomora.
Sasa kama nyie ni donors inakuwaje sasa mntakawa kuwa recipients wa misaada?