#COVID19 Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

watakua walikula NGO
NGO gani hiyo?

Kipindi cha Jiwe NGO zilionekana wafadhili wa upinzani walizipiga pini ..

Hata ile NGO ya Human Rights waliizifungia 6 Billion kwenye account yako kuelekea uchaguzi kwa madai ni pesa za kuanzishia vurugu..

That man was totally insane...
 
Mwendazake akirudi leo...kuna baadhi ya watu watakuwa supu.

Wewe ni nani kuongea na BEBERU...unaomba haya machanjo yanayoletaniza ma-corona mapya...hiiiii.
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa nini msijenge wenyewe? Tabia ya kupenda kufanyiwa vitu mtaolewa.
 
Mnanuna drimulaina kwa cash halafu mnalilia kujengewa viwanda kwa msaada na mabeberu. Ng'umbaru kabisa.
Mawazo yako.ni sawa na tako la bata
Hivyo sikushangai.
 
Hizo chanjo wana
Mzee si mlishasema kuwa nyie ni "dona kantre"?

Sasa kama nyie ni donors inakuwaje sasa mntakawa kuwa recipients wa misaada?
Hizo chanjo si wanatulazimisha tu kwani tuliwaomba?
Kila siku wanaweka visababu kwamba sisi sio kisiwa ili watulazimishe chanjo yao.
Kwa nini kama wanataka kutulazimisha basi wasikilize sisi tuanataka nini?
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wapinga chanjo si mtakihujumu?
 
Kama mnaona mna haja kwa nini msijenge cha kwenu wenu? Kwa nini mnangoja mpaka mpate sponsor? Watafiti wa NIMR n.k. si wapo?

Amandla...
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Stupid!!
Ulianza kwa kukana kuwepo kwa corona! Ukaja kukataa chanjo na sasa unataka usaidiwe kujenga kiwanda. Nilidhani hata ungekuwa na akili ungesema serikali INUNUE chanjo hizi na kuchanja hao wananchi milioni 60!! Wapumbavu msiokuwa na dira wala lolote - ujengewe kiwanda, upewe formula ya chanjo, upewe na materials! Umesahau ulituaminisha kuwa chanjo hizi ni mbaya?

Kumbe unalilia kiatu cha baniani?! Ndio maana siku hizi msemo wa mabeberu umekwisha!!
 
Pitia threads zangu kuhusu chanjo.
Dunderhead
 
Hiyo chanjo haijatolewa na USA peke yake ni mpango wa chanjo kwa dunia nzima unaoratibiwa na WHO acha kuongea vitu usivyovijuwa.
Acha kudandia treni kwa mbele
 
Hebu tumia akili sio kuweka waz ujinga wa kua mshabiki unajidai ushasahau kwamba sisi ni matajiri? Au umesahau? Kwamba miradi yote ni kwa pesa za ndan?? Halafu muwaache mabeberu waendelee na maisha yao unalialia nn ili wakupe msaada? Wao c ni mabeberu? Au
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hebu tumia akili sio kuweka waz ujinga wa kua mshabiki unajidai ushasahau kwamba sisi ni matajiri? Au umesahau? Kwamba miradi yote ni kwa pesa za ndan?? Halafu muwaache mabeberu waendelee na maisha yao unalialia nn ili wakupe msaada? Wao c ni mabeberu? Au
Ndio maana nimeleta mada hii..yatupasa kujitegemea na sio kusubiri misaada ...kama misaada ikibidi basi iwe misaada endelevu.
Umesomea nini??
 
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?

Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.

Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Watanzania wengi hatuhitaji chanjo, imeletwa kwa wale wanaohitaji
 
Eimu yang achana nayo, soma upya heading yako then utambie umetahayari kwasaab gan mpaka useme nilitaraji?? Unajua maan ya nilitaraji? Halaf unajidai eti nimeleta mada 🚮🚮🚮, wewe umeleta hoja ya kua uko very disappointed!!
Ndio maana nimeleta mada hii..yatupasa kujitegemea na sio kusubiri misaada ...kama misaada ikibidi basi iwe misaada endelevu.
Umesomea nini??
 
Eimu yang achana nayo, soma upya heading yako then utambie umetahayari kwasaab gan mpaka useme nilitaraji?? Unajua maan ya nilitaraji? Halaf unajidai eti nimeleta mada 🚮🚮🚮, wewe umeleta hoja ya kua uko very disappointed!!
Rudia mara nyingi kusoma posts zangu na ufanye tafakari ya kina kabla ya kukurupuka kuzijibu
 
Back
Top Bottom