#COVID19 Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

Mzee si mlishasema kuwa nyie ni "dona kantre"?

Sasa kama nyie ni donors inakuwaje sasa mntakawa kuwa recipients wa misaada?
 
Kwa nini nchi ambayo tayari ipo uchumi wa kati tena inaenda uchumi wa kati wa juu zaidi isaidiwe na mabeberu kwenye mambo madogo kama hayo?Umechanganyikiwa?
 
Unajuaje kama wanataka kutuuzia baadae?
Unawaza kama umefungiwa kwenye kibuyu?
Hujajibu hoja yangu bado. Mwanzo mlisema wanawapiga vita ya kiuchumi kwa kupitia ugonjwa wa covid19. Sasa iweje leo mnalalamika kuwa hawataki kuwajengea kiwanda cha chanjo? Yaani unalalamika kuwa adui yako hataki kukujengea kiwanda cha silaha?Basi kama mimi nimefungiwa kwenye kibuyu, wewe utakuwa umefungiwa kwenye gunia la mkaa.
 
Kwa nini utarajie watusaidie kujenga kiwanda cha chanjo na tusijenge wenyewe? Awamu iliyopita tuliambiwa "hela zipo!" Kwa nini hizo zisijenge?
 
Kwa nini utarajie watusaidie kujenga kiwanda cha chanjo na tusijenge wenyewe? Awamu iliyopita tuliambiwa "hela zipo!" Kwa nini hizo zisijenge?
Huyo mtu awekwe kwenye kundi la wazembe na wazururaji tu.Anataka kuharibu "rigasi" ya muishimiwa mungu😂😂😂😂
 
Huu uzi umetoka kwa jitu jinga linajiita jinga lao..
 
Wewe Jingalo kweli
 
Hata mwaka haujaisha waliokuwa wanawaita wazungu mabeberu wameanza kuwapigia magoti wawajengee kiwanda cha chanjo kwa kutumia kodi za wananchi wao.
 
Uzeni drimulaina mjenge kiwanda chenu, msiwapangie watu vya kuwasadia nyie matonya.
 
Lalamiko zuri.

Lakini tatizo linakuja kwamba hata wangejenga hicho kiwanda sisi tuna wataalamu wa kuendesha hicho kiwanda?

Kama wataalamu tungekua nao nafikiri Wizara husika ingekua ishatoa hili wazo. Considering muda ambao Tz tumekua tukigewa ARV za bure basi Wizara ingekua ishaweka mpango wa kuzalisha hizo ARV hapa hapa.

Nafikiri hata kwa covid hata ikae miaka 15 mbele hakuna kiwanda kitajengwa. Ishu ya afya ya Tz haitakiwi atupiwe mpira mgeni, anayetakiwa kushikwa shati na kuulizwa ni Wizara husika.
 
Mnanuna drimulaina kwa cash halafu mnalilia kujengewa viwanda kwa msaada na mabeberu. Ng'umbaru kabisa.
 
Si ulisema wa tz walio wengi hawataki chanjo? Acha sisis wachache tuchanjwe
 
Hiyo chanjo haijatolewa na USA peke yake ni mpango wa chanjo kwa dunia nzima unaoratibiwa na WHO acha kuongea vitu usivyovijuwa.
 
Nyie si mlikuwa mnawabeza Wazungu na Jiwe wenu kuwa corona imewashinda.
Hatukutakiwa kupewa msaada hata kidogo maana tuliwadharau sana na nyungu zetu.
 
Vijana wa CCM akili hamna si mkatengeneze SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…