NGO gani hiyo?watakua walikula NGO
Kwa nini msijenge wenyewe? Tabia ya kupenda kufanyiwa vitu mtaolewa.Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.
Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Msaada unatakiwa kuwa endelevu ...Hujawahi kujiuliza kwa nini tunasaidiwa mahindi na sio zana za kilimo .
Dunderhead
Mawazo yako.ni sawa na tako la bataMnanuna drimulaina kwa cash halafu mnalilia kujengewa viwanda kwa msaada na mabeberu. Ng'umbaru kabisa.
Hizo chanjo si wanatulazimisha tu kwani tuliwaomba?Mzee si mlishasema kuwa nyie ni "dona kantre"?
Sasa kama nyie ni donors inakuwaje sasa mntakawa kuwa recipients wa misaada?
Wapinga chanjo si mtakihujumu?Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.
Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama mnaona mna haja kwa nini msijenge cha kwenu wenu? Kwa nini mnangoja mpaka mpate sponsor? Watafiti wa NIMR n.k. si wapo?Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.
Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.

Pitia threads zangu kuhusu chanjo.Stupid!!
Ulianza kwa kukana kuwepo kwa corona! Ukaja kukataa chanjo na sasa unataka usaidiwe kujenga kiwanda. Nilidhani hata ungekuwa na akili ungesema serikali INUNUE chanjo hizi na kuchanja hao wananchi milioni 60!! Wapumbavu msiokuwa na dira wala lolote - ujengewe kiwanda, upewe formula ya chanjo, upewe na materials! Umesahau ulituaminisha kuwa chanjo hizi ni mbaya?
Kumbe unalilia kiatu cha baniani?! Ndio maana siku hizi msemo wa mabeberu umekwisha!!
Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.
Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ndio maana nimeleta mada hii..yatupasa kujitegemea na sio kusubiri misaada ...kama misaada ikibidi basi iwe misaada endelevu.Hebu tumia akili sio kuweka waz ujinga wa kua mshabiki unajidai ushasahau kwamba sisi ni matajiri? Au umesahau? Kwamba miradi yote ni kwa pesa za ndan?? Halafu muwaache mabeberu waendelee na maisha yao unalialia nn ili wakupe msaada? Wao c ni mabeberu? Au
Watanzania wengi hatuhitaji chanjo, imeletwa kwa wale wanaohitajiMsaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi.
Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo?
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na kakikundi flani kalicholengwa.
Tusipowekeza kwenye kiwanda cha chanjo tutaamini kuwa huu msaada ni sehemu ya udalali wa chanjo duniani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ndio maana nimeleta mada hii..yatupasa kujitegemea na sio kusubiri misaada ...kama misaada ikibidi basi iwe misaada endelevu.
Umesomea nini??
Rudia mara nyingi kusoma posts zangu na ufanye tafakari ya kina kabla ya kukurupuka kuzijibuEimu yang achana nayo, soma upya heading yako then utambie umetahayari kwasaab gan mpaka useme nilitaraji?? Unajua maan ya nilitaraji? Halaf unajidai eti nimeleta mada 🚮🚮🚮, wewe umeleta hoja ya kua uko very disappointed!!