Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kuna tatizo moja kwenye ujumbe wako, ccm na haki hawakai sehem mojaKwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi na kuhesabu matofali angeleta upinzani.
Amechagua njia mbaya sana kwa sasa na anaenda kupotea imani ya wananchi dhidi yake, utawala wa sasa umeegemea kwenye kuungwa mkono na dola badala ya wananchi hii ni mbaya kwenye Tanzania ya kesho.
Hakuna ubaya kwenye CCM bali kuna ubaya kwenye moyo wa mtuKuna tatizo moja kwenye ujumbe wako, ccm na haki hawakai sehem moja
Well ccm inaundwa na watu si wanyamaHakuna ubaya kwenye CCM bali kuna ubaya kwenye moyo wa mtu
Well ccm inaundwa na watu si wanyama
If kama hao watu wana nia mbaya, chama pia kina nia mbaya
Chama kiliundwa na wazalendo na mashujaa wakina nyerere, hili kitu kiwe na ubaya lazima kiwe kiumbe hai kama mwanadamu, chama kama chama hakiwezo kuwa na ubaya hakijui neno lolote hivyo hakuna ubaya kwenye CCM ubaya upo kwenye mioyo ya wanadamu.Well ccm inaundwa na watu si wanyama
If kama hao watu wana nia mbaya, chama pia kina nia mbaya
Hao wazalendo hawapo tena, na waliondoka na uzalendo wao. Waliobaki ukiwa umenyooka unapigwa vitaChama kiliundwa na wazalendo na mashujaa wakina nyerere, hili kitu kiwe na ubaya lazima kiwe kiumbe hai kama mwanadamu, chama kama chama hakiwezo kuwa na ubaya hakijui neno lolote hivyo hakuna ubaya kwenye CCM ubaya upo kwenye mioyo ya wanadamu.
Kuna kiongozi ametajwa hapa ni nani huyo? Ni muhimu sana kuwajua hao watu maana ni hatariKwa haraka haraka ungeniuliza ni nani angefaa kuwania uraisi CCM ningemtaja majaliwa, hata kama kungekuwa na reforms majaliwa kama angeendeleza uwajibikaji zaidi angeshinda kwa kura
Nilitegemea kumuona majaliwa akiwania uraisi kama angesimama kwenye njia yake ya haki alipokuwa akikagua miradi na kuhesabu matofali angeleta upinzani.
Amechagua njia mbaya sana kwa sasa na anaenda kupotea imani ya wananchi dhidi yake, utawala wa sasa umeegemea kwenye kuungwa mkono na dola badala ya wananchi hii ni mbaya kwenye Tanzania ya kesho.
CCM ilikufa zamani sana,kilichopo ni genge la wahuni tu lina terrorise Nchi.Hao wazalendo hawapo tena, na waliondoka na uzalendo wao. Waliobaki ukiwa umenyooka unapigwa vita
Ccm ya sasa si ya kina nyerere
Kuwa muelewa hakuna ubaya kwenye chama ila kuna ubaya kwenye mioya ya watu chama hakiwezi kufanya ubaya sio kitu hai, ndio maana kwenye CCM kuna watu wema sana sio wote ni wabaya.Hao wazalendo hawapo tena, na waliondoka na uzalendo wao. Waliobaki ukiwa umenyooka unapigwa vita
Ccm ya sasa si ya kina nyerere
Watu wanakipenda chama au waweza kukichukia sababu ya watu waliomo. Mfano hai ni sasaKuwa muelewa hakuna ubaya kwenye chama ila kuna ubaya kwenye mioya ya watu chama hakiwezi kufanya ubaya sio kitu hai, ndio maana kwenye CCM kuna watu wema sana sio wote ni wabaya.
Watu wananishangaza sana kama wewe.
Mtu anaweza kukichukia kitu flani bila sababu, ukiona mtu anachukia mfano gari, sijui meza, sijui mti au chochote kisichokuwa na uelewa basi anamatitizo ya afya ya akili.Watu wanakipenda chama au waweza kukichukia sababu ya watu waliomo. Mfano hai ni sasa
watu ndio wanabeba image ya chama, bila watu hamna chama
Chama si majengo magari au maliMtu anaweza kukichukia kitu flani bila sababu, ukiona mtu anachukia mfano gari, sijui meza, sijui mti au chochote kisichokuwa na uelewa basi anamatitizo ya afya ya akili.
Chama hakijui kosa, hakijui chochote bali kuna ubaya kwenye mioyo ya watu unanishangaza sana na elimu yako.
Kwahiyo tukisema ubaya hapo utakuwa upo ndani ya watu au kwenye chama, kama ni kwenye chama elezea ni vipi chama kama chama kiwe na ubaya bila ubaya huo kuwemo ndani ya watu ?Chama si majengo magari au mali
Chama ni watu
Ondoa watu inabaki nini kama si magofu?
Chama kinaundwa na nini? Tuanzie hapoKwahiyo tukisema ubaya hapo utakuwa upo ndani ya watu au kwenye chama, kama ni kwenye chama elezea ni vipi chama kama chama kiwe na ubaya bila ubaya huo kuwemo ndani ya watu ?