Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
BBC Swahili? Au BBC World?Salim kikeke si mtu wa kushindwa lugha,yuko smart na amefanya kazi BBC kwa muda mrefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC Swahili? Au BBC World?Salim kikeke si mtu wa kushindwa lugha,yuko smart na amefanya kazi BBC kwa muda mrefu sana
Kufanya BBC SwahiliKama si mfuatiliaje wa bbc, amefanya both and he is good
Kitenge anatosha kwenye Yanga daySijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Salim Kikeke mara kadhaa amefanya mahojiano na Rais wa JMT, au umesahau? 🐼Mkuu mbona una upeo mdogo.
Achilia mbali kuwa hao uliowataja ni ma MC wa Kitchen Parties, hawana hata Diplomatic exposure na experience.
Tofautisha presidential ettiquette na uMC wa mitaani.
Halafu tusiulizane mbona Diamondi hakutumbuiza!
Labda kitenge ,lakin kikeke anaweza vizuri,fuatilia kazi zake mkuuMwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR.
Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii.
Wewe una utani sana, hao makanjaja! hasa kitenge kuunda sentence moja iliyonyooka kwa lugha ya malkia ataweza??!Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Salim kikeke sawa ila sio Kitenge BrazaSijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Wote hamnazo hao. Ni chawa promax tuLabda kitenge ,lakin kikeke anaweza vizuri,fuatilia kazi zake mkuu
Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti.Salim Kikeke mara kadhaa amefanya mahojiano na Rais wa JMT, au umesahau? 🐼
Kwani huu Mkutano wako Marais Watupu?Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti.
Hili ni suala la diplomatic foreign relations, ambali Kikeke hana utaalam nalo.
Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano?Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼