Nilitegemea Salim Kikeke na Maulid Kitenge wangepata Fursa ya Kuongoza Mijadala Kwenye huu Mkutano wa Nishati lakini Sijawaona kabisa!

Nilitegemea Salim Kikeke na Maulid Kitenge wangepata Fursa ya Kuongoza Mijadala Kwenye huu Mkutano wa Nishati lakini Sijawaona kabisa!

Mkuu mbona una upeo mdogo.
Achilia mbali kuwa hao uliowataja ni ma MC wa Kitchen Parties, hawana hata Diplomatic exposure na experience.
Tofautisha presidential ettiquette na uMC wa mitaani.

Halafu tusiulizane mbona Diamondi hakutumbuiza!
Salim Kikeke mara kadhaa amefanya mahojiano na Rais wa JMT, au umesahau? 🐼
 
Mwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR.

Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii.
Labda kitenge ,lakin kikeke anaweza vizuri,fuatilia kazi zake mkuu
 
Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati

Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?

Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Wewe una utani sana, hao makanjaja! hasa kitenge kuunda sentence moja iliyonyooka kwa lugha ya malkia ataweza??!
Mbele ya international audience kama ile ?? Umepost kupima upepo.

Hao level zao no za comedy broadcasting,hawawezi kuwepo kwenye international platform zinapojadiliwa issues za maana!!!
 
kwamba serikali zote hizo zikose vijana wa kutangaza hadi kikeke aitwe
 
Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti.
Hili ni suala la diplomatic foreign relations, ambali Kikeke hana utaalam nalo.
Kwani huu Mkutano wako Marais Watupu?

Jana palikuwepo Mijadala mingi tu 😄😄😄
 
crown fm amechukuliwa mtangazaji Pablo Almas, task yake kubwa ni kuhariri na kutafasiri lugha kutoka kifaransa kuwa kiswahili, lakini pia kufanya mahojiano na staff member wa summit hasa wale wanaozungumza kifaransa
 
Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati

Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?

Nimeshangaa Mno 🐼🐼🐼
Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano?
 
Back
Top Bottom