Nilitembelea Uwanja wa Fisi, Buguruni, Rambo, Kimboka na kwingineko siku za hivi karibuni nimelia machozi

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah, kumbe kuna watu wanateseka hivi? Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24].
 
Life gumu mzee, dunia ina balance Kwa namna hiyo Sasa hao mbona Wana maisha wanakula na kulala naonaga huruma sana Kwa wale wenye ulemavu unakuta mtu katoka hospital kabla hajapona yupo pale moroko juani anaomba mguu Bado una damu kibao, ni sad sanaa mzee ila hata ukimpatia 100,000 wiki Moja itaisha atarudi pale
 
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Ila huwezi ukaweka makaa ya moto kwenye kifua na nguo zako zisiungue!! Hayo ni maneno ya hekima ya mfalme Sulemani. Sasa wewe unatuambia umeweka makaa ya moto kwenye kifua na nguo zako hazikuungua!!! Sema tu ukweli HUDUMA ULIPATA!! japo hukuwa unafuata huduma ila kanuni ya kuweka makaa ya moto kwenye kifua yakakupelekea kupata huduma (nguo kuungua). Uasherati unaushinda kwa kuukimbia na siyo kuufuatilia na kuutazama, tusidanganyane!!
 
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Kwa uongo na unafiki umetisha!!
 
Hatuambii kitu huyu. Mpaka kwa wahaya anajua?
Halafu huyu mwamba amezoea viwanja vya wanawake wa buku mbili mbili. Angekuja huku bar mpya ambayo wahudumu hawavai chupi si angezimia.
Mimi naungana na wewe kabisa kuna jambo katuficha. Ila mkuu ungetoa location ya iyo bar mpya ambayo wahudumu hawavai chupi tuje kunywa beer.
 
Machimbo yote unayajua halafu sio mnunuzi umetisha sana.
Hujaelewa jamaa amewahurumia na akauliza je ungekutana na sura ya ndugu wako wa damu how will you feel it.
Nikiwa mdogo kabisa nilipita maeneo fulani hao dada mie nikawauliza ivi Ni shida ama Ni Nini. Wakajibu shida,mmoja akaomba 50 ya maji nikampatia akanyoosha to buy water it pained and I felt it Niga trust me. I was young a teenager
 
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Utatoa Kwa wangapi?
 
Back
Top Bottom