Nilitembelea Uwanja wa Fisi, Buguruni, Rambo, Kimboka na kwingineko siku za hivi karibuni nimelia machozi

Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Big up Mkuu,

The greatness of a Man is not in how much wealth he acquires,But in his integrity and his ability to affect those around him positively.
 
Afu kwanini wadada wengi wanaochezea mijegejo sana sura zao zinakosa nuru,unakuta umbo ndo zuri lakini ngozi imechoka

Wewe ni kama mimi mkuu,huwa nikiwa bar hasa zile zenye wadada wengi huwa nayatafakar maisha yao nashindwa kuelewa mwsho wao itakuwaje
 
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah, kumbe kuna watu wanateseka hivi? Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24].
weka ka video clip
 
Mkuu Dar imeoza, nadhani ndio maana serikali imehama.
Kuna bar Tabata vibinti vipo vimevaa sidiria na chupi tu. Kuna bar wahudumu wengi Ni vijana wasio rizki, hizi zinajaza ma gentleman wengi Sana wenye umri 45+ magari Yao cruza, Prado, patrol na haria. Hukuti ist na korola hapo.
Tabata wapi kwny chupi

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.

Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]

Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?

Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.

Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.

Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah, kumbe kuna watu wanateseka hivi? Roho inaniuma mno.

Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24].
Aiseh tuwaombee Mungu awape nguvu ya kubadilisha mienendo yao.
 
FB_IMG_16733748144134966.jpg
 
Kuna wadada wengi humu hawajui kwa wahaya au Temeke Sudan kulivyo au wadada wanavyo subiri wateja. Hiyo stuli unayoona haina MTU ujue mwenyewe Yuko ndani ananyanduliwa.
Picha kwa hisani ya
mpwayungu village
 
Back
Top Bottom