Sawa, unayajua machimbo mangapi ya madada poa?Hujaelewa jamaa amewahurumia na akauliza je ungekutana na sura ya ndugu wako wa damu how will you feel it.
Nikiwa mdogo kabisa nilipita maeneo fulani hao dada mie nikawauliza ivi Ni shida ama Ni Nini. Wakajibu shida,mmoja akaomba 50 ya maji nikampatia akanyoosha to buy water it pained and I felt it Niga trust me. I was young a teenager
Mkuu Dar imeoza, nadhani ndio maana serikali imehama.Mimi naungana na wewe kabisa kuna jambo katuficha. Ila mkuu ungetoa location ya iyo bar mpya ambayo wahudumu hawavai chupi tuje kunywa beer.
Dar ufirauni ni mwingi sana hasa nyakati za usiku.Mkuu Dar imeoza, nadhani ndio maana serikali imehama.
Kuna bar Tabata vibinti vipo vimevaa sidiria na chupi tu. Kuna bar wahudumu wengi Ni vijana wasio rizki, hizi zinajaza ma gentleman wengi Sana wenye umri 45+ magari Yao cruza, Prado, patrol na haria. Hukuti ist na korola hapo.
Akili yako ilipo we aren't wiring in the same direction please.the neurons that fire together wire together. We aren't firing and wiring together. Ishu hapaSawa, unayajua machimbo mangapi ya madada poa?
Mercy is unconditionalUnamuonea huruma mtu anayeingiza pesa kukuzidi?
To those my philanthropist scope will offer meUtatoa Kwa wangapi?
Kama wewe mwanadamu ambaye siku zako chini ya jua zinahesabika vipi Muumba wetu na YESU wanavyosikitika kwa kuwaona watoto wake wakiwa katika hali hiyo.Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.
Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]
Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?
Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.
Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.
Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.
Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Hao(Yesu na Mungu) wanasikitika mara trillion nyingi zisizo na idadiKama wewe mwanadamu ambaye siku zako chini ya jua zinahesabika vipi Muumba wetu na YESU wanavyosikitika kwa kuwaona watoto wake wakiwa katika hali hiyo.
Acha kabisa, watu wanaishi maisha ya hovyoo sana ila watu hawajali kabisa
Hao walemavu wenye madonda mostly ni matapeli jombaa ,, usije ukajichanganyaLife gumu mzee, dunia ina balance Kwa namna hiyo Sasa hao mbona Wana maisha wanakula na kulala naonaga huruma sana Kwa wale wenye ulemavu unakuta mtu katoka hospital kabla hajapona yupo pale moroko juani anaomba mguu Bado una damu kibao, ni sad sanaa mzee ila hata ukimpatia 100,000 wiki Moja itaisha atarudi pale
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa.
Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali mbaya. Ni mabinti wa miaka 15 mpaka 25 wengi wao, ila sura zinakataa, sura zimechoka, sura za kizee[emoji24][emoji24][emoji24]
Nilifikiria mengi. Wamekata tamaa ya maisha na je, miongoni mwao angekuwepo dada au ndugu yangu yeyote?
Nilikuwa naingia vyumbani(kwa Wahaya) as if nataka huduma, nauliza bei then namlipa mara mbili yake na kutoka nje. Nilifanya hivi kwa wale malaya walioonekana kuwa na umri mkubwa mno[emoji24] naumia sana.
Na hata kwa vibinti nilifanya vivyo hivyo, Kimboka nilitoa machozi, Lubumbashi, River Side, Kitambaa cheupe n.k japo kwa siku tofauti tofauti.
Naumia sana[emoji24][emoji24][emoji24] daaaah
Kumbe kuna watu wanateseka hivi?
Roho inaniuma mno.
Naomba nisiendelee tafadhali[emoji24]
Malaya wanachukia Sana wanaume,. Bora angewasaidia watoto yatima na watoto wa mtaani. Kingine Malaya Hana shukrani hata kidogo.Halafu unaanzaje kumuonea huruma mtu ambae yupo kazini