Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

Nilitoa shilingi milioni 14 dirisha la benki nimekatwa elfu 2 tu kwenye statement, wamesahau makato yao au ?

Ndio, ni governmetn levy
Basi ni sawa. Angalia vzr jee hakuna withdrawal charges mbali na government levy? Km hakuna manake umetoa bila makato. Hio government levy sio makato ya bank ni ya serikali
 
Back
Top Bottom