Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.

Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto.

Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana sio tu kwamba wanapenda hela, ila wanawafanya wanaume wa waone cheap.

Ukishaona mwanamke anaendekeza hela hua kichwani hamnazo.

Binafsi naona kabisa miaka ijayo hakutakuwa na ndoa watu wanakuwa wanazalisshwa na kuachwa waendelee kuuza miili yao.. Na watoto kwa kukosa malezi wataendelea kurudia pattern zilezile.

Watoto wa chuo wanaliwa vibaya sana, humu mjini. Wazazi wakalisheni chini muwajuze how hiyo inawaharibu na trauma itokanayo na kutumika huwa almost haiponi..

Ni hayo tu, ngoja sie tufanyao kazi kwenye AC tuendelee kujisevia huku tu kiangalia mwenye ahueni tuoe.
 
Mitongozo imekuwa kero angalia mkuu usije ukafunguliwa kesi...

The LORD is my shepherd!
Kutongoza sio dhambi.
Ila hili la kila mtongozo kuomba pesa limekaaje mkuu? Mtongozo unataka pesa ndio utoe namba, unataka pesa ndo uje, unataka pesa ya kuonana kama vile inakwenda kumwonea daktari
 
Bwashee wewe tafuta tu hela , ukihitaji huduma pesa inakufanyia kazi , punguza maneno mengi na lawama , ndivyo mambo yalivyo
Siwezi fumbia macho uozo wa jamii na si hali au tabia ya kimaskini maan maskini atawazia kununua for the fact that a naamini hana hela ya kumweka mwanamke akatulia. Mambo hayakuwa hi vi kipindi tunakuwa mwanamke uje ukamlaze kitandani ilikuwa kazi sana, na hawakuendekeza hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…