Wengi wao ni mabinti waliyozaa na unri mdogo, kama huamini kagua picha zao utakuta ya mtoto. Wapo wa tofauti ila wewe umevamia haoMkuu siku hizi hakuna tofauti kabisa
Shida wanaume wengi hatuna muonekano wa kushtua wadada na tunatafuta mapenzi ya miaka ya 1980 wakati tuko mwaka 2026.. Rebeca 83Hahahaaaaaa ushasema hujui pa kuwapata hao sio gold diggers.. you might as well die alone!
Hawana cha kupoteza acha wajiuzeHahahaha ni kweli mkuu,
Wengi wao ni ma singo maza
Kwa hiyo wanafanya kuuza nyapu tu, sometimes it is out of trauma, wanawachukulia wanaume kama majibwa yenye hamu tu
Sometimes huwa wanadhani wakibeba ujauzito watasecure position ila kumbe wanaijiingiza matatizoni tu. Wanajua kabisa wao sio chaguo na bado wanataka kuingia kwenye mnyororo wa hudumaSasa hizo mimba waliwashirikisha wakati wanabeba? Unajua hakuna mimba ya bahati mbaya, ukiona hadi mtu kaamua kubeba na kuzaa jua aliitaka mwenyewe na si kama iliingia tu.
Shida inakuja huyo anayembebea alikuwa tayari kuwa na mtoto? Alimshirikisha wakati anafanya uamuzi huo? Hapo ndiyo utajua wanaume wengi wanabeba jukumu la kulea ingawa haikuwa mipango yao.
Akikutana na mtu ambaye hayupo tayari kuwa baba, ndiyo wanapigwa chini na kufikia huko. Muda mwingine wajifikirie mara mbili kabla ya kuachia mimba iingie kusudi
🤣🤣🤣🤣Hahahaha dah, kumbe una akili mbaya hivi duh? 😂
Kwahiyo Nia Yako ulitaka kuwatafuna bure ama mm ndio sijaelewa!!Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.
Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto.
Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana sio tu kwamba wanapenda hela, ila wanawafanya wanaume wa waone cheap.
Ukishaona mwanamke anaendekeza hela hua kichwani hamnazo.
Binafsi naona kabisa miaka ijayo hakutakuwa na ndoa watu wanakuwa wanazalisshwa na kuachwa waendelee kuuza miili yao.. Na watoto kwa kukosa malezi wataendelea kurudia pattern zilezile.
Watoto wa chuo wanaliwa vibaya sana, humu mjini. Wazazi wakalisheni chini muwajuze how hiyo inawaharibu na trauma itokanayo na kutumika huwa almost haiponi..
Ni hayo tu, ngoja sie tufanyao kazi kwenye AC tuendelee kujisevia huku tu kiangalia mwenye ahueni tuoe.
Kivipi mkuuHahahaha utapata magonjwa ya zinaa