Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,322
- 10,177
Bora huko kwa watoto umeombwa hela mbuzi, mishangazi ya JF mbona utakimbia kabisa na JF yenyewe 🤣🤣🤣
Kosa la Kwanza ni hili kudhani Pesa zako zitakupa mapenziSasa mapenzi yanakutesa vipi na una pesa mkuu, come on.!!
Unatongoza wanaume wenzio mkuuYaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.
Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto.
Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana sio tu kwamba wanapenda hela, ila wanawafanya wanaume wa waone cheap.
Ukishaona mwanamke anaendekeza hela hua kichwani hamnazo.
Binafsi naona kabisa miaka ijayo hakutakuwa na ndoa watu wanakuwa wanazalisshwa na kuachwa waendelee kuuza miili yao.. Na watoto kwa kukosa malezi wataendelea kurudia pattern zilezile.
Watoto wa chuo wanaliwa vibaya sana, humu mjini. Wazazi wakalisheni chini muwajuze how hiyo inawaharibu na trauma itokanayo na kutumika huwa almost haiponi..
Ni hayo tu, ngoja sie tufanyao kazi kwenye AC tuendelee kujisevia huku tu kiangalia mwenye ahueni tuoe.
Dada umenisaidia umemjibu vizuriKosa la Kwanza ni hili kudhani Pesa zako zitakupa mapenzi
If unahitaji ngono yes, Pesa zitakupa ngono Mpaka ukimbie but ikiwa unataka mapenzi weka Pesa zako pembeni
Rejea: all eyez on me ya 2pac
Watoto wanashindwa kutofautisha ngono na mapenziDada umenisaidia umemjibu vizuri
Nipe mwongozo haraka iwezekanavyo mkuuKuna wimbi kubwa la wanawake wapumbavu, wasio na akili, zaidi MASKINI na mafukara ..gold diggers etc, mtu unakuta cheo marketing manager, hata wiki hazijaisha , anakuambia umlipie Kodi ya nyumba ama hela ya kusuka, au ana birthday au anauguza nyumbani umsaidie hela...kumamamaye..
Huko mjini hakuna MWANAMKE WA kuoa ndugu mleta mada, wewe kama unataka mke kabisa uje nikupe code uende Kijiji flani kanda flani Tanzania hapa, huko ndio Kuna wife material, sio washamba, ila ni family women, wanajua kumtunza mume na wamefundwa..jamaa zangu wanne wametulia na ndoa zao kutoka huko
Haya manungaembe ya dar huko mijini mtajiopolea magonjwa tu ya gono na KUFILISIKA...mtu anafuga kucha kama vampire, anawezaje ku fanya house chores, anawezaje kuchamba ama kujitawaza baada ya kunya, boksa za mume wake anafuaje au ndio anamuachia house gal, house gal anajua Hadi saizi ya boksa ya baba mwenye nyumba , what a shame...
Humu wanawake wana njaa mbaya na ni wabovu ndo maana wamekimbilia ID feki. Nikiona mtu ana date na mwanamke wa jf Namwona mshamba kabisa, yaani demu limeona lije humu kwasababu halina uzuri huo kwenye maisha halisiBora huko kwa watoto umeombwa hela mbuzi, mishangazi ya JF mbona utakimbia kabisa na JF yenyewe 🤣🤣🤣
Ni ujuha wa hali ya juu, mwanamke kuonesha kutaka hela wazi wazi tena siku ya Kwanza, bila kuwa na aibu nitaonwaje?Umetongoza wanawake 10 wote wanataka hela..
Hujapata picha tu kutokana na hio experience kuwa kuwa na mwanamke unahitaji hela?..
Eti unaenda kutafuta mwanamke asiyetaka hela, wapi huko?!
Nimekuuliza wapi huko kuna mwanamke asiyehitaji pesa?! Lol ..Ni ujuha wa hali ya juu, mwanamke kuonesha kutaka hela wazi wazi tena siku ya Kwanza, bila kuwa na aibu nitaonwaje?
Mwanamke anayejua thamani yake hata weka kuomba hela kama kipaumbele katika mahusiano, huyo ni hana tofauti na malaya wa mitaani
Sijui ndo maana nikasema jamii za wanawake aina yako zimetawala sana, ni nyie ambao hamna akili za kujitegemea na kudhani capital yenu ni miili yenu ambayo mnaishia kudhalilika tu.Nimekuuliza wapi huko kuna mwanamke asiyehitaji pesa?! Lol ..
Kama hujui pa kuwapata hao wanawake wasiotaka hela plus experience yako ya kutongoza wanawake kumi na wote wakataka hela, should tell you something unless bichwa lako halijui ku analyse mambo!Sijui ndo maana nikasema jamii za wanawake aina yako zimetawala sana, ni nyie ambao hamna akili za kujitegemea na kudhani capital yenu ni miili yenu ambayo mnaishia kudhalilika tu.
Baada ya miaka kwenda unakuja kujutia kuchezewa na kutumika kwa vijisenti ambavyo havina manufaa yoyote.
Ni wanawake type zenu mnaorasimisha tabia chafu na mpasuko katika ndoa maana naweka vitu trivial kama vipaumbele
vitoto vinaendekeza pesa sana na sahivi kuna usumbufu wa kulipia simu za mkopo na wengine wanatoa k kisa kianzio cha simu za mkopo,na wasumbufu balaa kila muda vinataka pesa ili simu zisifungwa,ni janga kwa taifa yaani sahivi simu tu za mkopo tupo hapa sijui tukifika gari na nyumba za mikopo itakuwaje.Ungekuwa wewe ungekubali upigwe Free Poumbou?
Tena wewe chiwawa unaonekana tapeli huchelewi kuleta michezo ya mkopo wa kausha damu..!! 😹
Unadhani am a fool to play games on y'all Golddiggers?Kama hujui pa kuwapata hao wanawake wasiotaka hela plus experience yako ya kutongoza wanawake kumi na wote wakataka hela, should tell you something unless bichwa lako halijui ku analyse mambo!
Hili jambo ni pana sana kaka, wanawake wengi ukikutana nao mtandaoni ni wanafikiri unataka kuwatumia, so na wao wanakutumia pia. Nikimcheki mdada kwa mitandao namuacha ye ndio aamue tuwe wapenzi ama tufanye biashara , wengi wanaenda kwenye transactions. Wanasemaga mpenzi utampata mtaani kwako au sehemu ya kazi.Sio nauli, ni kwamba hata kama nitamlipia nauli anataka hela tu... Yaani anakujaribu kama vile mgodi wa dhahabu