Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Kwa mwanaume aina ya mtoa mada ukimnyima hiyo siku bill utajilipia..!!
Mimi sijali kuhusu kunyimwa tena nina Heshimu mwanamke mwenye kuwa mgumu kutoa, mimi mbona date nikikuita na kulipia tu vizuri... Shida Niki smell kuwa unachotaka kutoka kwangu ni pesa tu. Nakuona mjinga na nakudharau moja kwa moja
 
Hakuna majukumu kwa Malaya Kuna vitu nikiviona kwa mwanamke halambi hata 100 yangu mojawapo nikikuita dating halafu ukaniomba nauli siwezi kukupa chochote tayari unanionesha haupo kwaajili yangu.
Yaani mwanamke anaye onesha njaa zake wazi wazi kwako huyo ni kichomi na mjinga wa kutupwa, ni turn off kwa manufaa yako
 
Kwa mwanaume aina ya mtoa mada ukimnyima hiyo siku bill utajilipia..!!
Kikawaida dating analipia mwanaume kwanini Sasa mnaona ni wajibu kupewa nauli ya kuja kwenye tukio?Maana ili mwanaume aone willness yako kwake ni pamoja na wewe kujilipia nauli yako kuja eneo la appointment
 
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.

Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto.

Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana sio tu kwamba wanapenda hela, ila wanawafanya wanaume wa waone cheap.

Ukishaona mwanamke anaendekeza hela hua kichwani hamnazo.

Binafsi naona kabisa miaka ijayo hakutakuwa na ndoa watu wanakuwa wanazalisshwa na kuachwa waendelee kuuza miili yao.. Na watoto kwa kukosa malezi wataendelea kurudia pattern zilezile.

Watoto wa chuo wanaliwa vibaya sana, humu mjini. Wazazi wakalisheni chini muwajuze how hiyo inawaharibu na trauma itokanayo na kutumika huwa almost haiponi..

Ni hayo tu, ngoja sie tufanyao kazi kwenye AC tuendelee kujisevia huku tu kiangalia mwenye ahueni tuoe.
Hivi eleven yukwapi!?
 
Acheni stori za vijiweni.

Waambieni vijana ukweli😄😄

Kung'oa pisi kali ni vibe tu.Hela sio hoja.Demu akikuelewa utamega kisela sana.

Mimi nimeshadate na kuwakanyaga mademu ambao wao ndo wanafunga safari waijia pipe.

Watoto wanapenda mwanaume mwenye sifa za kiume.Hao malaya wauza uchi wasijidanganye kuwa wao ndio pisi kali.Good girls wapo na wanastands.Hawa wakikutana na mwanaume simp huwa wanawafungia vioo mapema kabisa.

Acheni kuwasujudu hao viumbe,hawana issue!!!

Mind your business,stay in shape,have a mission.watakufata mpaka wengine utawakimbia.
Mwamba umemaliza kila kitu ukiona unatumia nguvu kubwa ya hela kupata mademu ujue una mapungufu ya kiume
 
Kikawaida dating analipia mwanaume kwanini Sasa mnaona ni wajibu kupewa nauli ya kuja kwenye tukio?Maana ili mwanaume aone willness yako kwake ni pamoja na wewe kujilipia nauli yako kuja eneo la appointment
Kwahiyo umualike mtu date na nauli unataka atoe yeye??

Wewe ndo unamuhitaji kwenye hiko kikao lazima utume nauli au lah! Washa gari mfate(kama unalo) au mpitie muondoke pamoja..!!
 
Kama ni wewe umehitaji kuonana na mtu yeyote na kufanya naye mazungumzo/kikao, hakikisha unamlipa per diem. Nauli, chakula na muda ni mali vyote hivyo muhitaji wa kikao anatakiwa agharamie. Huoni hata Serikali ikiitisha watu kwenye kikao inawapa posho ya kikao. Kwa wewe kutaka kuonana na hao wanawake ulitakiwa uwagharamie nauli chakula, na posho ya kikao bila kujali agenda ya kikao.
Utaonaje willness ya mwanamke kwako ikiwa anataka umpe nauli ndio maana mademu wanakula nauli zenu na hawaji sehemu ya tukio kuwa mwanaume ni pamoja na kutambua thamani huwezi kupata thamani hata kwa hao wanawake kama uheshimu hela yako badala yake mnawekwa kwenye kundi la kuchunwa mnaitwa masponsors.
 
Mimi sijali kuhusu kunyimwa tena nina Heshimu mwanamke mwenye kuwa mgumu kutoa, mimi mbona date nikikuita na kulipia tu vizuri... Shida Niki smell kuwa unachotaka kutoka kwangu ni pesa tu. Nakuona mjinga na nakudharau moja kwa moja
Kwani wewe kwake unataka nini haswa?

Kama ni ndoa kwao si unapajua kwann usiende huko?

Hapo wote mko vitani mnawindana..!!
 
Kwahiyo umualike mtu date na nauli unataka atoe yeye??

Wewe ndo unamuhitaji kwenye hiko kikao lazima utume nauli au lah! Washa gari mfate(kama unalo) au mpitie muondoke pamoja..!!
Mambo kama hayo ndio maana hela za nauli zinaliwa na watoto hawaji ili utoe gharama kwa mwanamke lazima uone mwanamke anaelekea na utamjua kupitia conversations yenu kabla hata hujapanga meeting na moja kati ya indicator inakupa green light ni pamoja na mwanamke kujilipia nauli yake Kuja kama tu suala la nauli kujilipia anatia uzito huyo hayupo kwaajili yako tangu 2020 mpaka Leo sijawahi kukutana na mwanamke ambaye ameniomba nauli aje kwenye meeting
 
Kwahiyo wasiwasi wako kuliwa nauli? 😹
 
Utaonaje willness ya mwanamke kwako ikiwa anataka umpe nauli ndio maana mademu wanakula nauli zenu na hawaji sehemu ya tukio kuwa mwanaume ni pamoja na kutambua thamani huwezi kupata thamani hata kwa hao wanawake kama uheshimu hela yako badala yake mnawekwa kwenye kundi la kuchunwa mnaitwa masponsors.
Ingia kwenye mahusiyano na mwanamke anayekupenda, anayetamani kuwa na wewe muda mwingi. Hao hufika kwenye tukio kwa gharama zao lakini ni busara kuwa refund. Usiwe kwenye mahusiyano na mwanamke ambaye kukutana tu hadi umwombe na kumbembeleza.
 
Back
Top Bottom