Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Kila siku nawaambia humu kama huna pesa kaa mbali na wanawake. Easy.!!

Hao madem wapenda doo waachieni wenye mawe
Acheni stori za vijiweni.

Waambieni vijana ukweli😄😄

Kung'oa pisi kali ni vibe tu.Hela sio hoja.Demu akikuelewa utamega kisela sana.

Mimi nimeshadate na kuwakanyaga mademu ambao wao ndo wanafunga safari waijia pipe.

Watoto wanapenda mwanaume mwenye sifa za kiume.Hao malaya wauza uchi wasijidanganye kuwa wao ndio pisi kali.Good girls wapo na wanastands.Hawa wakikutana na mwanaume simp huwa wanawafungia vioo mapema kabisa.

Acheni kuwasujudu hao viumbe,hawana issue!!!

Mind your business,stay in shape,have a mission.watakufata mpaka wengine utawakimbia.
 
Kwa akili zako ndogo unawaza kuwa kupigwa mashine mpaka ulipwe?

Unafikiri mtu mwenye akili anawazia upuuzi wa namna hii? Ni wanawake wa goba na mbagala, na wale vidampa wa mjini tu wenye mindset za kimaskini kama zako.

Na ndo maana hampati wa kuwaoa mnaishia kuchapwa na kuachwa vijisenti mnaishia kuweka kwenye vikoba na kununua vijora.

Pesa nitatoa kwa mwanamke mwenye akili sio mlafi wa hela ndogo ndogo
📌Hawaelewi jinsi unakuta demu mkali alafu day one tu anakuomba hela.Sio kwamba huna ila vibe linakata unajikuta unajiuliza hivi huyu maku tangua asubuhi ameomba mafala wangapi.

🔔🔔🔔Kengele inalia kichwani kuwa hapa zaidi ya GONO,KASWENDE,HIV na MIMBA ZA KUSINGIZIWA.Hapa hamna kitu.Hili kopo linazurura tu kukusanya shahawa.
 
Acheni stori za vijiweni.

Waambueni vijana ukweli😄😄

Kung'oa pisi kali ni vibe tu.Hela sio hoja.Demu akikuelewa utamega kisela sana.

Mimi nimeshadate na kuwakanya mademu ambao wao ndo wanafunga safari waijia pipe.

Watoto wanapenda mwanaume mwenye sifa za kiume.Hao malaya wauza uchi wasizadanganye kuwa wao ndio pisi kali.

Acheni kuwasujudu hao viumbeHawana issue!!!

Mind your business,stay in shape,have a mission.watakufata mpaka wengine utawakimbia.
Yan kisa una hela ndo madem wakufuate? Endelea kujidanganya, Labda wa huko Misungwi.

huu ushauri wako wautumie vijana chipukizi kwenye haya masuala, wale ambao kwa mwaka mzima unakuta ametomba madem wakizidi sana basi watatu.

Ila kwa sisi wavuvi tunatumia mbinu zote, pesa, mwonekano, sifa za kiume, uongo n.k kikubwa tu pisi ivuliwe chupi

Ayo mengine sijui anaomba sana hela na stori zingine kama izo hazituhusu
 
📌Hawaelewi jinsi unakuta demu mkali alafu day one tu anakuomba hela.Sio kwamba huna ila vibe linakata unajikuta unajiuliza hivi huyu maku tangua asubuhi ameomba mafala wangapi.

🔔🔔🔔Kengele inalia kichwani kuwa hapa zaidi ya GONO,KASWENDE,HIV na MIMBA ZA KUSINGIZIWA.Hapa hamna kitu.Hili kopo linazurura tu kukusanya shahawa.
Mkuu unanena yaliyo kweli na hauzunguki mbuyu kabisa
 
Yaani mkuu, sikuhizi ukiona mwanamke kapiga picha isiyo ya kumbukumbu mfano katoka na marafiki, kamaliza mtihani au mkutano fulani, kumbukumbu za kibiashara n.k basi huyo kapiga picha ili mwili uonekane, haijalishi kavaa nini.

Picha kwa malengo ya kumbukumbu zinajulikana na picha za kumarket mwili utazijua tu hata akiwa kavaa baibui.
Au sio? Sawa kiongozi
 
Nilikuwa najua Nita pata hata mmoja mwenye tafadhali kumbe samaki mmoja akioza ni wote bwana

Wewe ni msumbufu. Hayo mameseji yako inabidi uyalipie hakuna kupoteza muda bure.
 
Mkuu unanena yaliyo kweli na hauzunguki mbuyu kabisa
📌Kuna wanaume mabwege na madomo zege,wanapotosha umma hawa ndio wanatia hasira kuliko hata hao ombaomba.

Wewe waangali hao vibwengo ukiwafatilia unakuja kuona ni masimps na wabangaizaji ambao kwao sex ni kitu adimu kiasi kwamba yupo radhi kuwaste a fortune ili akaichape😄😄😄.

Hawa matahira kuwa na mwanamke wanaona ni privilege.Wakati mwanamke ni kiumbe dhaifu na wakawaida sana.
 
Wanawake wote wamegeuka ni wataka hela, hakuna cha changudoa, kahaba wala mke wa mtu all they lay at the same line. Siku hizi huwezi kupata mbunye bure bila kutoa hela. Hata ukioa mke atataka hela kila siku umuachie, la sivyo utanyimwa mbunye mpaka ukashitaki kwa wadhamini wa ndoa au kwa wazee wa busara. Cha ajabu hata ukiwa na kibamia mbunye utapata ukitoa hela, hawajali kibamia. Hataki kutoa hela mbunye utazichora chini
 
Si ndio kitu nilikuwa naongelea hapa,

Wanawake wamekuwa wajinga, ndo maana tunajamii yenye watu wasio na juhudi hadi mashoga wame anza kuongezea maana wanadhani kuuza mwili na kuingiliwa nyuma na maumbile ni kawaida.

Hili swala inaweza kuonekana la kawaida, ila kama jamii ina watu wanaweza kuuza utu wao kwa ajili ya pesa unategemea atakuwa na upendo kwa jirani yake? Ni kizazi cha laana hiki
 
Nkisoma comments naona vijana wa kiume wa humu wana hasira sana na ninyi, mmewafanya nini 😂 Lamomy
Ni ujinga na kizazi cha laana ambacho tuna kikemea kwa kukaa waombolezaji wa hela ili wafunue nguo zao, sasa ni mwanaume gani mwenye akili ata kaa invest na kuoa mwanamke wa namna hiyo?
 
Kuna possibility kubwa huyu Jomba alivyopewa namba tuu hapo hapo kaomba apewe Utupu ama kamtongoza punde tuu baada ya kupewa namba... Kwa mazingira hayo tegemea vizinga vya chap chap
Wanawake wasasa wengi sio mpaka uombe uchi ndio upigwe vizinga hata usipoomba uchi atakuomba tu hela hasa asipokupenda
 
Yan kisa una hela ndo madem wakufuate? Endelea kujidanganya, Labda wa huko Misungwi.

huu ushauri wako wautumie vijana chipukizi kwenye haya masuala, wale ambao kwa mwaka mzima unakuta ametomba madem wakizidi sana basi watatu.

Ila kwa sisi wavuvi tunatumia mbinu zote, pesa, mwonekano, sifa za kiume, uongo n.k kikubwa tu pisi ivuliwe chupi

Ayo mengine sijui anaomba sana hela na stori zingine kama izo hazituhusu
Sikupingi ili kama unawashauri majuniazz wape kitu cha kuwafanya wauendeleze uanaume stop misinforming them.

Kutoa pesa sio issue ila namna ya kuselect demu au wanawake hiyo nayo ni njia moja wapo ni kuangalia per capita income ya hiyo mbuzi unayoisoundisha.

Infact mimi mademu maskini,ombaomba hawanivutii.Maana wengi hata upstairs ni weupe hamna kitu wanawaza vitu vya kupita tu.

Day one, demu anaomba hela hiyo ni straight red flag🚩🚩🚩🚩

No heri uwe na mademu wawili ambao unagudha mwaka mzima bila kuwaza HIV,KASWENDE,GONO,UTI SUGU kuliko kuwa na mahusiano na KOPO LINALOKUSANYA SHAHAWA ZA KILA NAMNA,alafu wewe unazuziliwa na tako au shape yake.

Hayo yatakuwa matumizi mabaya ya akili yako!!!
 
Ni ujinga na kizazi cha laana ambacho tuna kikemea kwa kukaa waombolezaji wa hela ili wafunue nguo zao, sasa ni mwanaume gani mwenye akili ata kaa invest na kuoa mwanamke wa namna hiyo?
Achana na huyo kijana anaibembelezea kisnich akidhani anaweza kupewa asuuze rungu kwa kuja kwa staili hiyo ya kuuma na kupuliza😄😄😄.

Staili ya kisnichi.Na masnich huwa hawafanikiwi.Hizo ni haraki za pimbi.

Mademu walivyo conscious wanameza hizi red pills kwa maumivu makubwa na wanaelewa mziki🔥🔥🔥 ndio maana wamenyuti wanakula nondo.Alafu unaona mwanaume anajitongozesha,hapo demu mwenyew lazima akuone boya.
 
Kama ni wewe umehitaji kuonana na mtu yeyote na kufanya naye mazungumzo/kikao, hakikisha unamlipa per diem. Nauli, chakula na muda ni mali vyote hivyo muhitaji wa kikao anatakiwa agharamie. Huoni hata Serikali ikiitisha watu kwenye kikao inawapa posho ya kikao. Kwa wewe kutaka kuonana na hao wanawake ulitakiwa uwagharamie nauli chakula, na posho ya kikao bila kujali agenda ya kikao.
 
Kama ni wewe umehitaji kuonana na mtu yeyote na kufanya naye mazungumzo/kikao, hakikisha unamlipa per diem. Nauli, chakula na muda ni mali vyote hivyo muhitaji wa kikao anatakiwa agharamie. Huoni tata Serikali ikiitisha watu kwenye kikao inawapa posho ya kikao. Kwa wewe kutaka kuonana na hao wanawake ulitakiwa uwgharamie nauli chakula, na posho ya kikao bila kujali agenda ya kikao.
Shida wakiitwa kikaoni hawaji😄😄😄wanazugazuga alafu wanakata kona kali shwaaaa......

📌Maana wanajua wakija kikaoni, wakulungwa lazima tuitafute VALUE FOR MONEY!!!
 
Back
Top Bottom