Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #181
Ni kweli ila kwa survey niliyo ifanya wanawake wa siku hizi wana fake hata mavazi, hakuna staha kabisa kitabia.Kuna aina za mawasiliano mwanamke akishazikubali tu ni mkataba kuwa ukiomba muonane basi unataka huduma ya ngono.
Mawasiliano ambayo hayana muelekeo huo huwa yanaonekana tangu mwanzo. Mfano mtu anauza masufuria mtaongea kuhusu masufuria kwa uwazi na uhitaji wa kukutana kama upo utaonekana kwa uwazi.
Halafu pia, aina ya profile na picha mtu alizoweka ni ujumbe tosha wa aina za watu anaotegemea wamtafute. Mfano binti aliyepiga picha akionyesha umbile lake regardless ya aina ya vazi huyo anategemea akipigiwa mada iwe umbile lake.
Unakuta ni mtu unayedhani anaeleweka kutokana na mavazi yake kumbe ni kicheche tu, tena washenzi wanaojifanyaga wanastaha ndo wanaliwa kinoma