Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Acha nikwambie ata hatupendagi sex tunawachora tu
UONGO MREMBO! MNAPENDA TENDO KULIKO HATA WANAUME!
Boys only school HAKUNA KUWEWESEKA, ETI VIBWENGO, ETI MASHETANI, ETI......
Anyway..
Wengine wandai.....Give a man an inch, he will return gratitude, give a woman an inch, she will want/take a mile, with no gratitude in return. Women are never satisfied...

It matters not what, or how much you give them, they will always want more.
 
Kuna aina za mawasiliano mwanamke akishazikubali tu ni mkataba kuwa ukiomba muonane basi unataka huduma ya ngono.

Mawasiliano ambayo hayana muelekeo huo huwa yanaonekana tangu mwanzo. Mfano mtu anauza masufuria mtaongea kuhusu masufuria kwa uwazi na uhitaji wa kukutana kama upo utaonekana kwa uwazi.

Halafu pia, aina ya profile na picha mtu alizoweka ni ujumbe tosha wa aina za watu anaotegemea wamtafute. Mfano binti aliyepiga picha akionyesha umbile lake regardless ya aina ya vazi huyo anategemea akipigiwa mada iwe umbile lake.
 
Mbona hii ndio nzuri sana? Hata madomo zege sasa hivi wanachakata pisi kali, pesa inaongea kwa niaba yao.

Yani naked truth hata mke wako hawezi kukupenda kama huna pesa, kama huyawezi haya wewe kuwa mpenzi mtazamaji tu au tongoza wanawake wazee wakulee uendelee kulemaa.

Wewe unataka uishi kwenye zama zetu ungeweza kutongoza demu miezi 6 mpaka mwaka na unazungushwa tu?

Hiki ndio kipindi kizuri mchawi ni pesa tu, ukiambiwa tafuta pesa hii ndio maana yake nenda huko Instagram watu wanachangia pesa mpaka mataahira kama Diva ndio sembuse ashindwe kumtumia pesa demu?
Wewe unazungumzia wakupiga ila mtoa mada analenga mwanamke mwenye sifa ya kuingia kwenye mahusiano
 
Kuna wanaume wanamiaka mingi ila kwenye mambo haya ya kulinda vibunda ni weupe mpaka unajiuliza hivi hili ling'ombe mapenzi kayajulia ukubwani???!!!

Unakuta mwanaume anahonga hela bila kuhusianisha na thamani ya hiyo nyapu🤔🤔🤔

##Madomo zege tumewastukia,acheni kutetea njia yenu ya kupata nyapu.Jifunzeni kutongoza, hao mademu zenu wakija kwetu tunawakata mitama bure au kwa hela sawa na bure!!!
Na mwanamke akiona ni mtoaji mzuri ndio vizinga vinazidi ni wanaume wajingawajinga ndio huwa wanatoa hela ovyo ovyo
 
Mwaka 2026 na mwaka 47 ni Dunia mbili tofauti

Enzi zetu hadi unakuja kuonja tunda, hakuna kizinga hata cha sabuni ya shilingi 50

Wanawake walikuwa wanaona aibu kuomba hela kwa Wanaume

Siku hizi utakimbia wewe

Anyways, nilikuwa natoa uzoefu wa mwaka 47

Kwasasa ishini na maneno ya wahenga "Mkono tupu haulambwi" 🤪
Hakuna Mwanaume asietoa hela tunachozungumzia mazingira ya uombwaji hela haiwezekani umechukua namba Leo hata haijapita masaa mengi Manzi anakutangazia shida zake
 
Hakuna Mwanaume asietoa hela tunachozungumzia mazingira ya uombwaji hela haiwezekani umechukua namba Leo hata haijapita masaa mengi Manzi anakutangazia shida zake
Hawa wa sasa wamezidi

Ndicho nilichokisema

Unatongoza leo, baada ya masaa 4 msichana anakuomba hela ya mchezo, sijui umjazie gesi n.k

Ni uhuni ulipo kizazi cha sasa, zamani mwanamke hata kukuangalia usoni wakati unamwimbisha hawezi

Siku hizi anakuangalia usoni kama fundi simu amepoteza nati
 
Manzi wa kuoa zama hizi kumpata Facebook ni probability finye! Facebook sio sehemu sahihi (kwa maoni) yangu ya kuanzisha mahusiano yeyote serious zama hizi, hasa yenye muelekeo wa kuoana.
FB imekaa kimasta sana bosi.
Ndio maana unaoana nimeishia kufurahi tuu. 😊
Yeye atongoze wanawake anaowaona na au kuwajua kiasi mtaani kwake, FB watamlia sana nauli huyo mkali.
Kokote kule hata fb au mitandao mengine au mtaani unaweza kupata demu anayejielewa inategemea na namna wewe unavyojiweka, akili yako ya kumsoma mwanamke na technical ability yako ya kuapproach
 
Hawa wa sasa wamezidi

Ndicho nilichokisema

Unatongoza leo, baada ya masaa 4 msichana anakuomba hela ya mchezo, sijui umjazie gesi n.k

Ni uhuni ulipo kizazi cha sasa, zamani mwanamke hata kukuangalia usoni wakati unamwimbisha hawezi

Siku hizi anakuangalia usoni kama fundi simu amepoteza nati
Mwanaume lazima uwe na akili ya kuchuja mambo na usiongozwa na hisia ili ujitengenezee thamani sio kila ukiombwa wewe ni kutoa tu bila kujali una au hauna hela
 
Mwanaume lazima uwe na akili ya kuchuja mambo na usiongozwa na hisia ili ujitengenezee thamani sio kila ukiombwa wewe ni kutoa tu bila kujali una au hauna hela
Ukiendekeza chini/kuhonga utafika miaka 65 unapigia simu watoto/ndugu wakuchangie shilingi 30,000 uende ukafanye vipimo hospitali

Hakuna sifa kwenye kuhonga
 
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.

Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto.

Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana sio tu kwamba wanapenda hela, ila wanawafanya wanaume wa waone cheap.

Ukishaona mwanamke anaendekeza hela hua kichwani hamnazo.

Binafsi naona kabisa miaka ijayo hakutakuwa na ndoa watu wanakuwa wanazalisshwa na kuachwa waendelee kuuza miili yao.. Na watoto kwa kukosa malezi wataendelea kurudia pattern zilezile.

Watoto wa chuo wanaliwa vibaya sana, humu mjini. Wazazi wakalisheni chini muwajuze how hiyo inawaharibu na trauma itokanayo na kutumika huwa almost haiponi..

Ni hayo tu, ngoja sie tufanyao kazi kwenye AC tuendelee kujisevia huku tu kiangalia mwenye ahueni tuoe.
Uzi ulianza kwa kuwaongelea mabinti wa FB.
Ghafla umegeukia mabinti wa chuo.
 
Kwa hapo tukubaliane mamsi haijamuelewa huyo jomba tuu....

Ni hivi anayemfuata mwingine means ndio anae shida so akubali yote. Ingekua ni mamsi ndo imemtokea huyo chalii, isingeomba hela chap hivoo
Lazima Kwanza ujue hakuna Mwanaume asietoa hela anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya utaoaji wako wa hela huwezi kutoa hela kwa mwanamke ambaye huna masaa nae mengi tangu uchukue namba yake alafu anaanza kulia shida zake ukimpa hela kwa mazingira haya hata huyo mwanamke mwenyewe anakushusha thamani
 
Wewe unazungumzia wakupiga ila mtoa mada analenga mwanamke mwenye sifa ya kuingia kwenye mahusiano
Sasa mahusiano si uende ukatongoze makanisani huko?

Hivi tuwafundishe mpaka leo namna ya kupata mwenza serious kuelekea kwenye uchumba?

Kama ni mtandaoni make sure unakwenda kwenye platform sahihi zipo, siyo nyege zako tu demu katupia pambs kajipost makalio halafu wewe unamletea kiwingu watu wapo kikazi.

Kuna demu namjuwa alipata mchumba online akamuombea spouse viza mpaka leo yupo Marekani.
 
Lazima Kwanza ujue hakuna Mwanaume asietoa hela anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya utaoaji wako wa hela huwezi kutoa hela kwa mwanamke ambaye huna masaa nae mengi tangu uchukue namba yake alafu anaanza kulia shida zake ukimpa hela kwa mazingira haya hata huyo mwanamke mwenyewe anakushusha thamani
Kuna possibility kubwa huyu Jomba alivyopewa namba tuu hapo hapo kaomba apewe Utupu ama kamtongoza punde tuu baada ya kupewa namba... Kwa mazingira hayo tegemea vizinga vya chap chap
 
Back
Top Bottom