Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Mimi nimetoa maoni yangu mkuu! Ni bahati mbaya maoni yangu, inaonekana maoni yangu hajayakubali, na hilo sio tatizo kabisa. 😊
Majibu hayo ni mtazamo na mazoea ya jamii ila haya ukweli wowote
 
Kuna wimbi kubwa la wanawake wapumbavu, wasio na akili, zaidi MASKINI na mafukara ..gold diggers etc, mtu unakuta cheo marketing manager, hata wiki hazijaisha , anakuambia umlipie Kodi ya nyumba ama hela ya kusuka, au ana birthday au anauguza nyumbani umsaidie hela...kumamamaye..

Huko mjini hakuna MWANAMKE WA kuoa ndugu mleta mada, wewe kama unataka mke kabisa uje nikupe code uende Kijiji flani kanda flani Tanzania hapa, huko ndio Kuna wife material, sio washamba, ila ni family women, wanajua kumtunza mume na wamefundwa..jamaa zangu wanne wametulia na ndoa zao kutoka huko

Haya manungaembe ya dar huko mijini mtajiopolea magonjwa tu ya gono na KUFILISIKA...mtu anafuga kucha kama vampire, anawezaje ku fanya house chores, anawezaje kuchamba ama kujitawaza baada ya kunya, boksa za mume wake anafuaje au ndio anamuachia house gal, house gal anajua Hadi saizi ya boksa ya baba mwenye nyumba , what a shame...
Anataka humudumie kama baba yake halafu Sasa Huna unachopata kutoka kwake zaidi ya sex
 
Mkuu siku nyingine usitongoze mademu wewe tega tu mitego huwa wanakuja kichwa kichwa wenyewe wazee wa 9t stand najua tunapatana
 
Mwaka 2026 na mwaka 47 ni Dunia mbili tofauti

Enzi zetu hadi unakuja kuonja tunda, hakuna kizinga hata cha sabuni ya shilingi 50

Wanawake walikuwa wanaona aibu kuomba hela kwa Wanaume

Siku hizi utakimbia wewe

Anyways, nilikuwa natoa uzoefu wa mwaka 47

Kwasasa ishini na maneno ya wahenga "Mkono tupu haulambwi" 🤪
 
Nimecheka kinoma, ndio uzuri wa JF, ukifanya kazi ukichoka, ukiingia JF lazima ucheke na kufurahi. 😊

Kuhusu mada: mkuu mkono mtupu haulambwii.
Hakuna asitoa hela ila anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya uombwaji hakuna demu anayejielewa na mwenye heshima akakuomba siku ya Kwanza tu huyo ni Malaya jaribu kutofautisha manzi wa kawaida yule wa kuoa na Malaya
 
Hakuna asitoa hela ila anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya uombwaji hakuna demu anayejielewa na mwenye heshima akakuomba siku ya Kwanza tu huyo ni Malaya jaribu kutofautisha manzi wa kawaida yule wa kuoa na Malaya

Manzi wa kuoa zama hizi kumpata Facebook ni probability finye! Facebook sio sehemu sahihi (kwa maoni) yangu ya kuanzisha mahusiano yeyote serious zama hizi, hasa yenye muelekeo wa kuoana.
FB imekaa kimasta sana bosi.
Ndio maana unaoana nimeishia kufurahi tuu. 😊
Yeye atongoze wanawake anaowaona na au kuwajua kiasi mtaani kwake, FB watamlia sana nauli huyo mkali.
 
Back
Top Bottom