Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Hao dawa yao unawapa mualiko waje kucheza sebene.kufikia hapo kama bado anaakili hata kidogo za kuvukia barabara ataabort mission ila kama ni kungwi lazima litimbe kunako Santiago bernabeu😅😅😅Bora ya time Frame hiyo mkuu, ila hawa pasta kichwa anataka hela ili muongee sasa si tayari unakuwa umesha imagine huyu ni muuzaji