min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kula nyama nyamazaSiwezi fumbia macho uozo wa jamii na si hali au tabia ya kimaskini maan maskini atawazia kununua for the fact that a naamini hana hela ya kumweka mwanamke akatulia. Mambo hayakuwa hi vi kipindi tunakuwa mwanamke uje ukamlaze kitandani ilikuwa kazi sana, na hawakuendekeza hela