Sifikiri eti Kuna mwanaume hatoi kabisa hela kwa mwanamke anachozungumzia mtoa mada mazingira ya uombwaji hela ndio maana akatolea mfano umechukua namba kwa manzi hata masaa hayajapita anaanza kukuomba hela na Kuna mwingine unamkuta yupo online halafu anakuambia Sina bando nitumie tuchat kumbuka hujaweka agenda yoyote kwake ya kuomba mzigo mfano wewe ndio ungekuwa ni mwanaume ungetoa hela yako kumpa huyo manzi?Hapo akiwa mtoaji ila kama mkono birika🤣🤣🤣hatuwezi ata kulianzisha hilo topic