BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Binti yangu usijadili na hivi vitoto akina Gunner havijui hata kuosha ****** vinanuka mavi.Kwahiyo umualike mtu date na nauli unataka atoe yeye??
Wewe ndo unamuhitaji kwenye hiko kikao lazima utume nauli au lah! Washa gari mfate(kama unalo) au mpitie muondoke pamoja..!!
Hakuna mapenzi bila hela aisee..
Mimi kwanza nikimuita mtu dating lazima niandae mpunga wa kutosha mtoto aenjoy, ale, ashibe, apendeze afurahi.
Sinunui mapenzi, lakini nahakikisha kwamba mazingira ya mapenzi yetu yanakwenda muruaa! Natoa sasampa haswaa.
Sasa huyu Gunner mnuka matako anakaa kwa shemeji yake kweli mnajadiliana nae nini?
Binti yangu how... jump jump no position.... nilishakufunda kwenye unyago!

