Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Mimi kauli yangu huwa ni moja "NIPE NIKUPE" tukishamalizana usiniombe hela. Ukininyima K yako na mimi usiniombe hela yangu Kila MTU abaki na chake .
Hahahaha utapata magonjwa ya zinaa
 
siku hizi K ni biashara inayowalipa vyema warembo,zipo za bei tofauti ni wewe tu na mfuko wako kiongozi.hakuna K ya bure hapa duniani tena.Kee wote wanauza Kei.
 
siku hizi K ni biashara inayowalipa vyema warembo,zipo za bei tofauti ni wewe tu na mfuko wako kiongozi.hakuna K ya bure hapa duniani tena.Kee wote wanauza Kei.
Ndo hivyo, inabidi na wewe unai treat kama inavyotaka ku treatiwa
 
Kwa hiyo wanafanya kuuza nyapu tu, sometimes it is out of trauma, wanawachukulia wanaume kama majibwa yenye hamu tu
Sasa hizo mimba waliwashirikisha wakati wanabeba? Unajua hakuna mimba ya bahati mbaya, ukiona hadi mtu kaamua kubeba na kuzaa jua aliitaka mwenyewe na si kama iliingia tu.

Shida inakuja huyo anayembebea alikuwa tayari kuwa na mtoto? Alimshirikisha wakati anafanya uamuzi huo? Hapo ndiyo utajua wanaume wengi wanabeba jukumu la kulea ingawa haikuwa mipango yao.

Akikutana na mtu ambaye hayupo tayari kuwa baba, ndiyo wanapigwa chini na kufikia huko. Muda mwingine wajifikirie mara mbili kabla ya kuachia mimba iingie kusudi​
 
Sometimes huwa wanadhani wakibeba ujauzito watasecure position ila kumbe wanaijiingiza matatizoni tu. Wanajua kabisa wao sio chaguo na bado wanataka kuingia kwenye mnyororo wa huduma
 
Kwahiyo Nia Yako ulitaka kuwatafuna bure ama mm ndio sijaelewa!!
 
Mwanamke WA kizazi cha Sasa ni bdhaa, na ukiona mwanamke anatanguliza Pesa jua huyo ni wastarehe TU, sio wakuoa.
Zingatia hili, unatafuta mwanamke WA kuoa au WA starehe .kama ni WA starehe ana haki ya kutanguliza Pesa mbele Kwa sababu anafanya biashara.kwahiyo huna haja ya kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…