MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
- Thread starter
- #101
OkNi pm tafadhal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkNi pm tafadhal
Naweza pata wapi hiyo cancelling?Pole sana. Unahitaji ushauri nasaha dada yangu. Tatizo lako ni la afya ya akili lililosababishwa na huo uzoefu wako mbaya wa kimapenzi/kimahusiano uliopita na linaitwa Post-traumatic Stress Disorder (PTSD). Inawatokea wengi kwa kiwango na athari tofauti tofauti kwasababu pia watu wako tofauti. Ukipata tiba sahihi ambayo inakuaga psychotherapy (inahusiana na counselling), utapona kabisa. Utakuwa wa kawaida tena!!
Lakini haimaanishi kuwa baada ya kupona basi uanze kupenda penda ovyo. Hapana. Jifunze kutokana na past yako. Wewe ni binadamu...una mahitaji ya mwili. Ila lazima uwe makini sana usije ukavuruga maisha yako uliyoyatengeneza tayari na ya mtoto wako plus ndoto zako nyingine. Kwa kuwa una mtoto tayari, chukulia hiyo ndio familia yako na priority yako. Mwanamme atakayekuja awe supplementary tu...but umheshimu!!!
Naweza pata wapi hiyo cancelling?
Asante kwa ushauti wako ulinisaidiaUnataka kuwa kama wanawake wengine kwani we umekuwa mwanaume enhee
Unashindwa kumsahau face the reality then that all...
Endelea kuishi mwnyw dada mpaka kifo kikutenganishe!Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Hamumtendei haki!Ana miaka 35 tu mnamwambia abaki mwenyewe.Jambo la msingi awe muangalifu atakapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.Na hasa usawa huu wa uchumi wa mifukoni ulivyo.....!Ni rahisi kumjua mwanaume suruali.Umri ulionao unatosha kabisa kufanya mambo yako..
Fanya kazi..somesha mtoto wako mpaka atimize ndoto zake..
Unaweza ukapata mwingine akapatia wewe mtoto mwingine tena na akapotelea kusikojulikana ukabaki na matatizo mengine!!
Karibu tenaAsante kwa ushauti wako ulinisaidia
Au nipende Mimi katoto hautajuta wala hautakuwa na stress njoo tujenge maisha kwa akili na busara kwa heshima ya hali ya juu,Unataka kuwa kama wanawake wengine kwani we umekuwa mwanaume enhee
Unashindwa kumsahau face the reality then that all...
Itawezekana vipi sasa?,atafute hata wa kumpa raha tu na sio mapenziBaki mwenyewe tu lea mwanao wanaume achana nao
Inawezekana mkuu,lkn hiyo lugha sijakuelewa.Hiyo avatar yako ndio inayosababisha hayo yote toa hiyo avatar ubakeise bona
Yupo chuo saivi sio tena mwaka wa 1Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine