lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Ulifanya maamuzi??bila Shaka ni yakuficha sukari..kwamba? asee mi nilishakuwa kiranja kabisa ... sitamba ushauri kwa hili no thanks maamuzi yalishafanyika hakuna kurudi nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifanya maamuzi??bila Shaka ni yakuficha sukari..kwamba? asee mi nilishakuwa kiranja kabisa ... sitamba ushauri kwa hili no thanks maamuzi yalishafanyika hakuna kurudi nyuma
of course......................... ficha kabisa mbaliUlifanya maamuzi??bila Shaka ni yakuficha sukari..
nimekwelewa,nimesema simaniishi wewe ndivyo ulivyo apana ila nimetumia nafasi hiyo kusema nachokiamini japo sio sehemu sahihi ila so mbaya.Kweli ww mfitinishaji ila mawazo yako yameheshimika ila sijawahi mtambulisha mwanangu baba yeyote na hapa sijaja kwa ajili ya kutelekezwa wala kutafuta bwana kama una matatizo yako weka wazi watu wakushauri usimalizie hasira kwangu mkuu,soma vizuri ninaomba msaada niweze kusahau siyo kutafuta bwana mpya [emoji23]
wamechwafukwa na nini mkuu ? mbona unajumlisha wote? ....nimekwelewa,nimesema simaniishi wewe ndivyo ulivyo apana ila nimetumia nafasi hiyo kusema nachokiamini japo sio sehemu sahihi ila so mbaya.
#kwakua umesema huitaji mme ila kumsahau aliepita nakushauri kuwabize na kazi pamoja na Mungu.
wanaume tumechafukwa sana,na anaeweka tegemeo kwetu kwakweli namshangaa sana
wamebaki wakuvuta kwa mbaliiiiwamechwafukwa na nini mkuu ? mbona unajumlisha wote? ....
mhwamebaki wakuvuta kwa mbaliiii
unaelewa hali ilivyo mkuu japo ngumu kumeza
dah mi nawaza pesa mkuu hili jambo nilishalitolea maamuzi siwazi mkuu ni kama nilivyoishatolea maamuzi serikali ya awamu hii .... sipati shida mkuu nipo sawaunaelewa hali ilivyo mkuu japo ngumu kumeza
Nipigie nikushauri utapona tu 0715268499Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Wapi naweza pata hiyo cancelling!? Naomba maelekezo tafadhaliPole sana. Unahitaji ushauri nasaha dada yangu. Tatizo lako ni la afya ya akili lililosababishwa na huo uzoefu wako mbaya wa kimapenzi/kimahusiano uliopita na linaitwa Post-traumatic Stress Disorder (PTSD). Inawatokea wengi kwa kiwango na athari tofauti tofauti kwasababu pia watu wako tofauti. Ukipata tiba sahihi ambayo inakuaga psychotherapy (inahusiana na counselling), utapona kabisa. Utakuwa wa kawaida tena!!
Lakini haimaanishi kuwa baada ya kupona basi uanze kupenda penda ovyo. Hapana. Jifunze kutokana na past yako. Wewe ni binadamu...una mahitaji ya mwili. Ila lazima uwe makini sana usije ukavuruga maisha yako uliyoyatengeneza tayari na ya mtoto wako plus ndoto zako nyingine. Kwa kuwa una mtoto tayari, chukulia hiyo ndio familia yako na priority yako. Mwanamme atakayekuja awe supplementary tu...but umheshimu!!!
Wapi naweza pata hiyo cancelling!? Naomba maelekezo tafadhali
hahahah sasa si mnamtia presha tu nyie.ubinafsi huo....azae alafu baba mtoto asepe tena
Usiyalilie mapenzi, mlilie Mungu.Ndugu zangu mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35. Niliumizwa sana na mwenzangu baba wa mtoto wangu na nimeachana nae miaka 12 iliyopita.
Mtoto yuko Form One, baba hana hata habari nae, lakini nashukuru mungu nimejitahidi na nitajitahidi apate elimu. Tatizo ni kwamba kila nikiingia kwenye uhusiano mpya nakuwa muoga na sana imefikia hatua sihitaji tena kuwa na mwanaume. Yaani naogopa vitu vilivyonitokea mwanzo na mwisho nahisi sijui kumpenda mtu yaani kuubwaga moyo nakuwa na wasiwasi na kushindwa kujiachia.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niwe sawa na wanawake wengine
Asante kama kweli unanmoyo wa kuwafariji wanawake wa aina kama hii yangu barikiwa sanaNatafuta mwanamke type hii. Mwanangu yupo form two